Una matatizo ya Computer yako?

hans9

New Member
Dec 10, 2009
4
0
Je laptop au desktop yako ina matatizo ,Software ,drivers ,OS ambazo sio genuine js call me 0713 443344 - Hassan
 
Unanunua computer zenye matatizo au unabadilishana kwa kuchukua zenye matatizo na kutoa mpya(zisizo na matatizo)?
 
unapatikana maeneo gani au ofisi yako iko wapi? Nimeona namba za simu lakini mimi nataka nije physical sina simu how can you help mw zaidi ya kuweka location ya ofisi yako na offers nyingine unazotoa badala ya namba za simu tu
halafu pia hutakiwa kuwa offline manake ndio umeshingia sokoni na natemea wewe utakuwa na kompyuta na iternet fulltime
Tunahitaji utaalamu wako sana mazee
 
Mimi nahitaji hii cable kwenye picha

tnl_u2midi.jpg

au
3178N150ZDL._SL500_AA250_.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom