jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 506
Ni sahihi au sio sahihi?
Kuna wa levo za juu wizara ya afya anaelipwa kiasi hicho?Ni sawa. Hata hao wachezaji pia hawalipwi mishahara sawa. It's all about levels .
Wizara ni watoa huduma , mpira wa miguu ni biashara,watumishi wana pensheni uzeeni,wacheza mpira hawana pensheni.Kuna wa levo za juu wizara ya afya anaelipwa kiasi hicho?
Unalipwa kadri ya unachozalisha katika ulimwengu wa biashara.Ni sahihi au sio sahihi?View attachment 1814907
SawaHakuna neno “lifes” hapo ni kuchezewa akili tu, kuweni makini.