Una kijana asiyechagua kazi? Mlete hapa apate kujishughulisha

Mkuu una mtu wa kufanya kazi, unahitaji kufanya kazi au unataka hiyo mjini kati tu shida yako itoke?
Wafanyabiashara huwa wanatangaza biashara zao hata kwa kulipa hela nyingi illimradi tu awafikie wateja wengi.
Wewe mteja anakuuliza ni wapi unafichaficha kulikoni?

Vijana wa kazi unaowatafuta ni kweli wanaenda kufanya kazi hiyo au una jambo lingine kiasi cha kuficha sehemu biashara hiyo ilipo?
 
inawezekana hataki umjue,kuogopa asijiachie vizuri jf,kuogopa wasiojulikana
Unafanya biashara unaogopa kutaja biashara yako ilipo mkuu? Kwani location inaweza ku identify mtu?

Huyu hayupo serious na tangazo lake. Maana hata kwa kutaja tu eneo hata kama mimi sitaki hiyo kazi yake lakini labda nahitaji anachouza sasa akificha huoni anajizibia pia riziki mwenyewe.
 
Wafanyabiashara huwa wanatangaza biashara zao hata kwa kulipa hela nyingi illimradi tu awafikie wateja wengi.
Wewe mteja anakuuliza ni wapi unafichaficha kulikoni?

Vijana wa kazi unaowatafuta ni kweli wanaenda kufanya kazi hiyo au una jambo lingine kiasi cha kuficha sehemu biashara hiyo ilipo?
Umeongea kwa hasira sana mpaka umenitisha.

Mimi sitangazi biashara mkuu mimi nahitaji mtu wa kufanya hiyo kazi tu.

Kuhusu sehemu halisi ya kazi siwezi kukutajia kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Kazi yenyewe ndio hiyo tayari nimeibainisha hizo kazi nyingine mnazowapa vijana usifikirie kila mtu hufanya hivyo.

Kwani wewe ukiambiwa umepikiwa ugali ule lakini unakutana na pili pili utakula?
Ndio hivyo kazi Itakuwa maeneo ya mjini kati na sio sehemu za kando kando ya jiji.
 
Ooh, sawa. Basi ungemjibu kwa kifupi kuwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wako huwezi kumwelekeza kijiweni kwako member aliyekuuliza zaidi ya mara moja ukamkwepa
 
Back
Top Bottom