Una ka degree kamoja mwaka wa tano huna hata kwa bits what do you expect?

Kazi tunafanya tatizo mazingira ya kazi sio rafiki,kodi ziko juu,mtaji laki nne,wanataka uwe na mashine ya laki 8 eti ya risiti.

Wengine wamelima na kununua mahindi wayauze kwa faida, ndoo ya mahindi ni 4000 sasa si hasara tushapata.

Matatizo ni mengi sana,na pia hakuna kijana anapenda kukaa bila kazi au pasipo kuingiza pesa. Changamoto zimekuwa nyingi sana.
 
Mimi nikajua unatoa suluhisho kumbe unatoa mipasho kisa wewe una uhakika wa kupata pesa.
 
Malekum mslam..watu najua hawajaona salamu hiyo!!mkuu uko sahihi sema unajua nini RAIA wana hasira ngoja akili zikikaa sawa watakuelewa..yaan ishu iko ivi vyuma vimek.. Sawa lakini mbona wenzio uliomaliza nao wametusua????
 
Una uhakika na kazi yako shukuru mungu acha kutoa mipasho.. maisha ya mtu yanapangwa na mungu
 
aya mapovu yanareflect mtaa ulivyo...anyway nipo njiani na mimi naja uko uko mtaani tubanane ivo ivo
 
Back
Top Bottom