Una jamaa,ndugu&rafiki yako ana uwezo wa kununua eneo la kuchimba dhahabu (geita-chatto&nyarugusu)..

DONALD

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
292
195
Habari wana JF!

Nna ndugu yangu yupo Machimboni maeneo ya CHATTO mkoa mpya wa Geita,

nimeongea nae kwa kirefu,anasema kuna viwanja na maeneo (yenye dhahabu chini ardhini) yaliyopimwa tayari na

kupewa hati anasema,kama kuna mtu anahitaji eneo la kununua kwa ajili ya kuweka wachimbaji au

kununua eneo na kuingia ubia na wenye uwezo/vifaa vya kuchimbia dhahabu basi niwasiliane nae,kwani

wakubwa/wageni wenye kisu kikali ndo wananunua maeneo pale pamoja na eneo lingine linaloitwa NYARUGUSU.

kwa hiyo kama una jamaa,ndugu,rafiki na wadau,basi tuwasiliane ili nimpe mengi zaidi ya hii habari.

nchi inaliwa na wachache sisi tumekaa mjini tunaombana nauli na cent ya kutoa copy za vyeti ili tukaombe kazi.

...mengi zaidi nicheki apa 0755 927881..(whatssap)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom