Una gari,nyumba atm tembo card??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,135
We una nini??nikupe kabinti changu unaweza hisi ni didy no
ni tangazo linafundisha ma binti zetu sikuhizi wawe makini kwenye kuchagua wa milele maisha ni
at least awe na hivyo hapo juu ni vyema kama binti na wewe ukapata kasomo wako ana nini>>
kama hana hata tembo card anzaaa!!!
 
hilo tangazo limekaa kizushizushi tu, ina maana ambaye hana hiyo card ndio hatapendwa?kila kitu fake tu siku hizi
 
Umeoonaaa shantel sasa watoto wetu wanasikia hili kwenye basi unafikira kizazi gani tunakitengeneza??
 
umaskini uliokithiri nao mzigo nani anapenda akaolewe akalishwe misumari kila siku??? ingawa pesa nayo inaisha ila mie nitaolewa na mtu mwenye chapaa,kama hakuna siolewi ng;oo!
 
We una nini??nikupe kabinti changu unaweza hisi ni didy no
ni tangazo linafundisha ma binti zetu sikuhizi wawe makini kwenye kuchagua wa milele maisha ni
at least awe na hivyo hapo juu ni vyema kama binti na wewe ukapata kasomo wako ana nini>>
kama hana hata tembo card anzaaa!!!

Mie nimeelewa maana ya tangazo ni kumuonesha muoaji kuwa yupo nje ya wakati kwa kutokuwa na mastercard...
Japo sidhani kama marketer wao ni mzuri...angeweza tumia muktadha tofauti na ujumbe ukafika vyema kabisa.
 
umaskini uliokithiri nao mzigo nani anapenda akaolewe akalishwe misumari kila siku??? Ingawa pesa nayo inaisha ila mie nitaolewa na mtu mwenye chapaa,kama hakuna siolewi ng;oo!

umenikumbusha mbali juzi nilikuwa kwenye sherehe yaharusi moja wakati anaingia tukaombwa tusimmame wakapita wale wasimamizi wa harusi wanacheza kama ngoma ya kienyeji mara ikapigwa

"""wanawake wazuri wazuri wameolewa wanabaki mayunga yembe yanahangaikaa""""asiee ilinibidi nimsms bwana harusi kuna nini ndan ...yamekua haya ingawa alijibu mwishoni usiku wa manane akadai mkewe ndie ameomba upigwe hivyo duhh
 
what are you trying to insuniate?...that nitabaki nungayembe eeh?? FYI mabuzi na mabuzi ya kuoa yapo kibao LOL
 
heshimu pesa and what it can do for you..ila dont love money maana utaua!!!
 
mie siku bint yangu anaolewa shurti anioneshe tembo card master card. mambo ya kwenda kuwa tegemezi huko ndo ananyanyaswa kama kihongwe! kuna binti kaolewa majuzi hapa,eti kaacha kazi anataka kuwa mama wa nyumbani.nikimuona natamani kumrukia!
 
Wewe nawe na huo ushamba wako...sasa "tembo card master card" ndiyo inaashiria nini? Inaelekea hujui kuwa mtu unaweza ukawa na hizo bank cards halafu usiwe na kitu kwenye akaunti.

Unanikumbusha mshikaji wangu mmoja hivi...jamaa alienda benki kufungua checking account, wakampa check books pamoja na ATM card. Sasa jamaa katika akili yake alikuwa kila akiziona zile checks zake anadhani ana hela kumbe wapi bana..kwenye akaunti hakuna kitu.

Kila siku akawa analetewa ma overdrawn charges hadi mwishowe alitia akili. Sasa nawe eti uonyeshwe "tembo card master card" ndo uridhike?

Kama umenimaindi nishuti na hiyo binduki yako
 
umaskini uliokithiri nao mzigo nani anapenda akaolewe akalishwe misumari kila siku??? ingawa pesa nayo inaisha ila mie nitaolewa na mtu mwenye chapaa,kama hakuna siolewi ng;oo!
<br />
<br />
sema ntanunuliwa ...
 
umaskini uliokithiri nao mzigo nani anapenda akaolewe akalishwe misumari kila siku??? ingawa pesa nayo inaisha ila mie nitaolewa na mtu mwenye chapaa,kama hakuna siolewi ng;oo!
<br />
<br />

.....katika ulimwengu huu, wa sasa unategemea kununuliwa! Tehe! Jipange vizuri ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom