Una gari ndogo, unataka malipo kidogokidogo kwa miezi 6?

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
799
Kwa MTU mwenye GARI ndogo, raum old model, gx 100, starlet, cami au terious, au nyingine aina toyota
Bei ya GARI hiyo isizidi 4m, malipo miezi 6-8. kila mwezi nitalipa sio chini ya laki 5 au zaidi ninapoona yafaa ili kumaliza mapema. we unabaki na kadi au fail zima. nikimaliza unanipa documents hizo. Nitakuwa nikijitahidi kulipa Mara kwa Mara ikiwezekana isifike miezi 6 au 8. Anayeona ni wazo zuri aje pm tujadili vema.
 
Mkuu huo ni Uongo,mtabaki kutiana hasara tu,kulipa laki 5 kwa mwezi bado gharama za uendeshaji,msidanganyike kumpa gari huyu mtu,kama anataka gari azichange hizo za miezi 8 then ikikamilika ndio anunue.
 
Baada ya miezi miwili unanirudishia gari then unadai huwezi tena kulipa...ie..nitakuwa nimekukodishia gari kwa sh.16, 600/- kwa siku (bodaboda wengi wanalaza 15, 000-20, 000/-)...halafu gari tayari litakuwa mkweche kutokana na wewe kuliburuza bila huruma!!!.....samahani najaribu tu kuwaza!
 
Kwa MTU mwenye GARI ndogo, raum old model, gx 100, starlet, cami au terious, au nyingine aina toyota
Bei ya GARI hiyo isizidi 4m, malipo miezi 6-8. kila mwezi nitalipa sio chini ya laki 5 au zaidi ninapoona yafaa ili kumaliza mapema. we unabaki na kadi au fail zima. nikimaliza unanipa documents hizo. Nitakuwa nikijitahidi kulipa Mara kwa Mara ikiwezekana isifike miezi 6 au 8. Anayeona ni wazo zuri aje pm tujadili vema.
Kwanza ile lancer yako umeishauza? Kama haujauza tufanye biashara
 
Hapo juu hamjaelewa, nimetoa wazo, kwani nini maana ya mkataba? usikimbilie kusema haiwezekani , wakati nimejifunza kwa watu kadhaa wakifanya hivyo kimkataba na wakafanikiwa! haiwezekani mkataba ukasema GARI hata likiharibika au kupata ajari malipo yatabaki vilevile kisha alive chili a GARI akakataa kulipa au kurudisha.
Biashara hizi zipo sana hasa kwa wenye kumiliki GARI nyinginyingi na wale wenye weledi huu. So kila kitu in utapeli kama mnavyo dhani kwasababu mtoa GARI nae in MTU mwenye akili ya kulinda haki zake.
 
Kwanza ile lancer yako umeishauza? Kama haujauza tufanye biashara

Ndg, Lancer nilishauza, ninayo Nadia no B, pia nauza 10m. Uzi huu natafuta GARI ndogo ya kusaidia kazi zangu lakini kwa scheme niliyosema, japo wengine hawaelewi
 
Ndg, Lancer nilishauza, ninayo Nadia no B, pia nauza 10m. Uzi huu natafuta GARI ndogo ya kusaidia kazi zangu lakini kwa scheme niliyosema, japo wengine hawaelewi

Na mimi naitaka hiyo nadia ntakulipa kwa muda wa miezi kumi na tano,unasemaje?
 
deal closed! unaitaka hii Nadia, Sema utalipaje kwa installment? mkataba miezi 10. malipo kila mwezi so chini ya laki 9. Tuna andikishana mkataba kwa mwanasheria, GARI unachukua baada ya kulipa at least robo ya thamani yake na masharti mengine yatazingatiwa.
 
Punguza masharti ka mganga wa kienyeji,mbona we umejipangia acha na sisi tujipangie bana.
 
Kwa MTU mwenye GARI ndogo, raum old model, gx 100, starlet, cami au terious, au nyingine aina toyota
Bei ya GARI hiyo isizidi 4m, malipo miezi 6-8. kila mwezi nitalipa sio chini ya laki 5 au zaidi ninapoona yafaa ili kumaliza mapema. we unabaki na kadi au fail zima. nikimaliza unanipa documents hizo. Nitakuwa nikijitahidi kulipa Mara kwa Mara ikiwezekana isifike miezi 6 au 8. Anayeona ni wazo zuri aje pm tujadili vema.[/QUOTE

vihela vyenyewe vidogo 4m, arafu unavilipa kwa 6-8mothes? huyo mtu atakuwa na njaa kiasi gani mpaka adanganyike hivyo? nakushauri kama unaitaji kupata gari kweli kwa misingi ya kulipa muda mrefu, inabidi uongeze dau, la sivyo dola ilivyo panda siku hizi mtu hakubali hata kama cha zamani bora afe nacho tu! 4m zitamsaidia kununua gar gan tena!
 
Back
Top Bottom