Una-comment nini kwenye picha hii?

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
hapa ni Zidane akimtwisha ndoo Matterazi. Una lolote la kusema juu ya picha hii? Kwa mfano ilikuwa sahihi Zizou kufanya alichofanya? Unahisi ni tusi gani kubwa au neno gani baya Zizou alitamkiwa na Matterazi?
 
Dada FL1 inawezekana neno lilikuwa zito sana...........
 
Mgaya guo la ndani limembana kutishwa kidogo tuu kanywea,angekuwa Mtikila pangeiva!
 
hapa ni Zidane akimtwisha ndoo Matterazi. Una lolote la kusema juu ya picha hii? Kwa mfano ilikuwa sahihi Zizou kufanya alichofanya? Unahisi ni tusi gani kubwa au neno gani baya Zizou alitamkiwa na Matterazi?

Hii inaashiria siku ambayo JK na Mgaya watakapo kutana mtaani, Zizzou ni JK na Mgaya ni Materazzi.Na hapa bonge la tusi litatoka"............................mako unataka nikose urais sio?"
 
Back
Top Bottom