Madima
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 351
- 299
Yani ujumbe unaweza kuwa mzuri lakini namna ya kuuwasilisha ni shidaUmeonaeeee!
Yani ujumbe unaweza kuwa mzuri lakini namna ya kuuwasilisha ni shidaUmeonaeeee!
Da sophy buana za miaka mingiKama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Wanangu kusoma shule nzuri tu ndio linakushuka shuuuuu! Kumbuka anayesomesha wanangu ndiye aliyesomesha wanao, ni baba yao. Hawa watoto ni ndugu, acha roho mbaya.
Mume mwenyewe ulikuwa unamuona boya. Nimemchukua nimemtunza kapendeza sasa ndio unakumbuka ulikuwa umeolewa. Kaa na cheti chako umechelewa stendi.....Pole weeeee!
Eti urithi? Unazungumzia urithi wa mtu ambaye yuko hai na anatimiza majukumu yote mpaka yale uliyosema hawezi hapa kwangu mbona anatimiza. Hujioni una matatizo?
Kwa taarifa yako wanangu hawahitaji urithi wako na wala hawana sababu ya kugombana na ndugu zao. Nilivyo navyo vinanitosha sana na nimeridhika sina tamaa kama za kwako.
Kama ulivyosikia kuwa baba yao kawanunulia viwanja ni kweli hati ziko hapa kwangu. Sijamzuia asiwanunulie hao wa kwako.
Eti gari kistaleti changu tu ndio unapiga domo kila siku kwa mashoga zako sasa kama na wewe ulitaka kununuliwa si ungemwambia akununulie. Mbona una magari au hayo hajakununulia? Kwa hiyo unaona wivu kuwa wewe umejinunulia magari lakini mimi kaninunulia. Tuliza mshono bibiye. Kwa taarifa yako gari nimenunua mwenyewe kwa biashara zangu. Ni kweli kanipa mtaji lakini biashara nimefanya mwenyewe kwa juhudi zangu. Umeshakuwa mtu mzima sasa tulia sasa usubiri wajukuu
Daaah!Sisi ni familia moja sasa upende usipende. Watoto wetu ni ndugu na wanajuana. Jiheshimu uheshimiwe.
Hakuna icho kitu... Acha wivuWewe baki na mume yeye abaki na cheti ...mwisho wa season ndo utajua ....wewe utabaki na watoto mume ataenda kwa mwenye cheti
Sio kila kitu ni kipo kwenye maandishi,Wapi nimeandika nimekasirika?
Punguza shoboSio kila kitu ni kipo kwenye maandishi,
una cheti ana mume
Natamani Sana ungesoma mkasa wa naipenda jmosi yangu unaoandikwa na Irene mbowe
Kuna maneno Fulani huwa nayapenda Sana anakwambia kahaba ni shimo ndefu
Kwako Dada uliyeandikiwa huu ujumbe naamini upo humu Ila mtafute Sana Mungu ,mbingu zinakujua Kama mke halali hata Kama danga limekupokonya usilie usimrushie vijembe ,lilia magotini omba Sana Kuna majibu ya kila chozi
Kwako mwanaume uliyechepuka na kuacha mke anasutwa huku karma is near
Ujumbe wenu: Mbingu hutaiona otherwise umebadilika na kutubu machozi ya mwanamke mwenzio hayataenda bure miaka itapita lakini lazima Mungu atalipa kwa namna usiyojua
#Huu ugomvi nimetamani uwe wangu Mana ningeupangua spiritual Mimi Ni mwanamke naelewa maumivu ya ndoa
Vingine "vinakatikia" tu dada angu wala sio mipango.unaogopa kuongeza dhambi ya kuua kwenye ile ya kuzini na kutelekeza watoto inakua ngumu ndo yanatokea kama haya.Aseee nimeenda kumfyukunyua huko doooooh huyu mtu ni mshari mnooo.... Ana kazi haswa but Nampa pole hata huyo mwanaume aliyejitoa mhanga
umemuweza hivi ni K au MPunguza shobo
umemuweza hivi ni K au M
inauma sana lakini hamna chakufanyaumemuweza hivi ni K au M
ndio maana hamuolewi...Sitaki hata kujua yu jinsia ipi
inauma sana lakini hamna chakufanya ndio maana hamuolewi...
Pumbavu mkubwa, malaya weweHongera kwa kuolewa
Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Mbona matusi tena...ila usishangilie mtu kuibiwa mume kama umeolewa unajua maumivu yakePumbavu mkubwa, malaya wewe
Halafu kuna watu wanaomba ruhusa ya kufuta nyuzi zao!!😂😂😂Mweee... Ni nini hiki..
Embu ngoja kwanza nipitie nyuzi zako za nyuma.
Sijashangilia ila ni huyu et anamwambia hiyo thread haitakiw kuwepo humu.. Sasa untampangiaje mtu chakupostMbona matusi tena...ila usishangilie mtu kuibiwa mume kama umeolewa unajua maumivu yake