Una cheti nina mume

Punda alinyimwa pembe akapewa masikio, akapewa na mlio wa milele na mileleee.
 
Bure kabisa. Mtu unawaza kuzaa watoto uwalee vizuri huwezi tamba ujinga.bora unyamaze.
 
Uzuri wa kua mke mwenye cheti huyo mwanaume anaekufanya urukwe akili na kuandika ujinga akirestishwa in peace huna chako
 
Sawa huoi ila unazaa naye...huoni tatizo?
Wanawake kabla hawajaolewa wanakuwaga wife material
Ukiwaoa tu wanasahau kila kitu wao miguu juu kila kitu dada fanya hivi fanya vile.

Sasa kwanini nisihame mazima ila huko sioi maana kuoa ni kujitakia matatizo mbeleni
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom