Una bahati wewe ni mwanaume wangu wa kwanza, ila tungekuwa tumeshaachana

Wachuchu wapo wengi...

Swali la kizushi, wewe ndiye uliyemtoa bikira?
 
Ukweli ni kwamba huyo mwanamke unamaanisha hivi:
Anajitahidi kutunza heshima yako kwakua mmetoka mbali japo changamoto ni nyingi sana I mean wengi wanamuhitaji .......

Alihitaji umpatiea mimba ili awe na uhakika na uhai wa penzi lenu pamoja na malengo yenu japo wanaume wengi wana mtaka hivyo anaogopa kubeba mimba ambayo hakuitarajia au tayari alisha toa nyingine ili kunusuru ndoa yake tarajiwa........

Amekuwa maarufu sana kulingana na wadhifa wake kazini wengi wanampenda na wanamuona kama mtu wa mfano huku wengi wakimtongoza wapo walio kubaliwa na walio kataliwa.........

Hitimisho; Huyu mwanamke anakuheshim kwasababu wewe ni mwanaume wa kwanza kwake, tatizo wewe hujielewi na pia hujiamini hivyo yeye amebakia kukusubiri hatari yake ni kwamba muda wowote kitumbua kitaingia mchanga kwani mwanaume sio wewe peke yako kwani kwasasa huyo mwanamke amepevuka vyakutosha anahitaji ndoa au watoto over.
 
Jiongeze broo apo mpime mimba kama hana ndio umpe kweli mimba hapo anakutahadhalisha kuwa anapendwa na wengi ila anakuheshimu wewe tu anataka umpe mimba awr na uhakika na penzi lenu
 
Wakubwa habari ya mihangaiko..
Kijana wenu nimekuja nahitaji msaada wa kimawazo hapa kidogo naamini wapo wazee wenye hekima nitapata msaada.

Awali ya yote mimi ni kijana wa middle 90's nina mpenzi wangu yeye ni wa late 90's ambae nipo nae kwenye mahusiano yapata mwaka wa 4 sasa.

Tangu tuwe kwenye mahusiano hakuna baya alilowahi kunifanyia hata mimi nimejitahidi kuwa muaminifu sana kwake.

Kwa sasa yeye ni muajiriwa yupo mkoa X namimi nimejiriwa nipo mkoa Y.

Lengo la huu uzi ni hii kauli yake ambayo inanipa ukakasi kwa kiasi fulani kuichanganua yani kila tukiwa tunawasiliana labda ikitokea tumehitilafiana kidogo au pakubwa utamsikia..

Una bahati kwa sababu wewe ni mwanaume wangu wa kwanza ila tungeshaachana

Sasa hii kauli kidogo inanipa maswali mengi.

Mipango yetu ni kwamba mwishoni mwa huu mwaka tumalize taratibu zote ikiwezekana tufunge na ndoa lakini kidogo nimeanza kupata ukakasi juu ya hili..

Mwezi uliopita nilipata likizo ikabidi nimtembelee huko alipo ila kuna mambo zaidi yamenichanganya.

Kwanza aliniambia nikifika nitafuta boda boda anipeleke anapoishi maana nikiwaambia boda boda tu wanapajua, nikamwambia sawa ila kwanini wewe usinisubili stendi nikifika tuongozane kwa kuwa huo mji mimi ni mara yangu ya kwanza nipate kuyafaham mazingira vizuri, hilo akakataa akasema labda nikifika nivute muda hadi usiku ukianza kuingia hapo sawa nikasema sawa.

Pili kimbembe nilipofika sasa kila muda anapigiwa simu yan mara aulizwe hiki mara unafanya nini mara huyo mgeni yupo mara hivi yani hadi nikabaki tu kumuangalia.

Tatu inaonekana hiyo sehemu yani ni aliwatani anafahamika sana sio wamama sio wababa vijana yani wanaonekana wanamfaham sana maana kuna siku aliniambia nimsindikize yani kila mtu njiani anamfaham mpaka nimekosa jibu.

Hayo yote nimeyamezea ila kingine simu yake pattern kila sehem yani hadi ikiita hadi uweke pattern ndo upokee.

Nilikaa kama wiki mbili huo mkoa ila niliona kama mwezi, kingine alikuwa analazimisha sana nimpe mimba sasa hapo sikuwa naelewa alikuwa ana maana gani.

Yan mi kutokana na hayo mambo hata mzuka wa kufanya nae bila kondom ukawa umeniondoka kwahyo akawa ana lalamika kwa nin sitaki kulala nae bila kondomu inamaana simuamini au? Mi nikawa namwambia tuu kwamba ni kwa ajili ya kuzuia mimba yeye akawa analazimisha nimpe mimba.

Hivi jamani huyu mwanamke anafaa kuwa mke kweli au nipotezeeane nae niangalie kwingine.
Kuwa Mpole, hii mambo ukishaonyesha nia ya kuoa huwa ni Changamoto sana.

Hakuna fact kuubwa ya kuachana nae.

Kufahamika ni sawa na inategemea na ukubwa wa eneo au mji.

Kina vimji vingine unakuta watu wote mtaani mnafahamiana so isikupe shida.

Muhimu angalia interest zako kabla hujaoa.
Thats my Advice!!
 
Jiongeze broo apo mpime mimba kama hana ndio umpe kweli mimba hapo anakutahadhalisha kuwa anapendwa na wengi ila anakuheshimu wewe tu anataka umpe mimba awr na uhakika na penzi lenu
Ndivyo wanavyojidanganya Wanawake wengi!!
 
Wakubwa habari ya mihangaiko..
Kijana wenu nimekuja nahitaji msaada wa kimawazo hapa kidogo naamini wapo wazee wenye hekima nitapata msaada.

Awali ya yote mimi ni kijana wa middle 90's nina mpenzi wangu yeye ni wa late 90's ambae nipo nae kwenye mahusiano yapata mwaka wa 4 sasa.

Tangu tuwe kwenye mahusiano hakuna baya alilowahi kunifanyia hata mimi nimejitahidi kuwa muaminifu sana kwake.

Kwa sasa yeye ni muajiriwa yupo mkoa X namimi nimejiriwa nipo mkoa Y.

Lengo la huu uzi ni hii kauli yake ambayo inanipa ukakasi kwa kiasi fulani kuichanganua yani kila tukiwa tunawasiliana labda ikitokea tumehitilafiana kidogo au pakubwa utamsikia..

Una bahati kwa sababu wewe ni mwanaume wangu wa kwanza ila tungeshaachana

Sasa hii kauli kidogo inanipa maswali mengi.

Mipango yetu ni kwamba mwishoni mwa huu mwaka tumalize taratibu zote ikiwezekana tufunge na ndoa lakini kidogo nimeanza kupata ukakasi juu ya hili..

Mwezi uliopita nilipata likizo ikabidi nimtembelee huko alipo ila kuna mambo zaidi yamenichanganya.

Kwanza aliniambia nikifika nitafuta boda boda anipeleke anapoishi maana nikiwaambia boda boda tu wanapajua, nikamwambia sawa ila kwanini wewe usinisubili stendi nikifika tuongozane kwa kuwa huo mji mimi ni mara yangu ya kwanza nipate kuyafaham mazingira vizuri, hilo akakataa akasema labda nikifika nivute muda hadi usiku ukianza kuingia hapo sawa nikasema sawa.

Pili kimbembe nilipofika sasa kila muda anapigiwa simu yan mara aulizwe hiki mara unafanya nini mara huyo mgeni yupo mara hivi yani hadi nikabaki tu kumuangalia.

Tatu inaonekana hiyo sehemu yani ni aliwatani anafahamika sana sio wamama sio wababa vijana yani wanaonekana wanamfaham sana maana kuna siku aliniambia nimsindikize yani kila mtu njiani anamfaham mpaka nimekosa jibu.

Hayo yote nimeyamezea ila kingine simu yake pattern kila sehem yani hadi ikiita hadi uweke pattern ndo upokee.

Nilikaa kama wiki mbili huo mkoa ila niliona kama mwezi, kingine alikuwa analazimisha sana nimpe mimba sasa hapo sikuwa naelewa alikuwa ana maana gani.

Yan mi kutokana na hayo mambo hata mzuka wa kufanya nae bila kondom ukawa umeniondoka kwahyo akawa ana lalamika kwa nin sitaki kulala nae bila kondomu inamaana simuamini au? Mi nikawa namwambia tuu kwamba ni kwa ajili ya kuzuia mimba yeye akawa analazimisha nimpe mimba.

Hivi jamani huyu mwanamke anafaa kuwa mke kweli au nipotezeeane nae niangalie kwingine.
Huyo mwanamke analiwa sana tu na ana mchepuko wake rasmi huko huyo anaepigapiga simu,chamsingi kama unamuhitaji fanya mambo yafuatayo i) Mpe mimba,hakikisha kabla ya kumpa unampima na ikiwezekana kaa nae wiki kazaa uakikishe kweli imeingia ili usije ukabebeshwa mtoto ambaye sio wako ii) Anza mchakato wa kumuoa,na usichukue muda mrefu muoe muishi karibu pamoja iii) Fanya yote hayo kwa pamoja. Kama upo tayali kuachana nae basi chunguza maisha yake huko,utagundua mambo mengi sana thn utaamua mwenyewe cha kufanya.
 
Wakubwa habari ya mihangaiko..
Kijana wenu nimekuja nahitaji msaada wa kimawazo hapa kidogo naamini wapo wazee wenye hekima nitapata msaada.

Awali ya yote mimi ni kijana wa middle 90's nina mpenzi wangu yeye ni wa late 90's ambae nipo nae kwenye mahusiano yapata mwaka wa 4 sasa.

Tangu tuwe kwenye mahusiano hakuna baya alilowahi kunifanyia hata mimi nimejitahidi kuwa muaminifu sana kwake.

Kwa sasa yeye ni muajiriwa yupo mkoa X namimi nimejiriwa nipo mkoa Y.

Lengo la huu uzi ni hii kauli yake ambayo inanipa ukakasi kwa kiasi fulani kuichanganua yani kila tukiwa tunawasiliana labda ikitokea tumehitilafiana kidogo au pakubwa utamsikia..

Una bahati kwa sababu wewe ni mwanaume wangu wa kwanza ila tungeshaachana

Sasa hii kauli kidogo inanipa maswali mengi.

Mipango yetu ni kwamba mwishoni mwa huu mwaka tumalize taratibu zote ikiwezekana tufunge na ndoa lakini kidogo nimeanza kupata ukakasi juu ya hili..

Mwezi uliopita nilipata likizo ikabidi nimtembelee huko alipo ila kuna mambo zaidi yamenichanganya.

Kwanza aliniambia nikifika nitafuta boda boda anipeleke anapoishi maana nikiwaambia boda boda tu wanapajua, nikamwambia sawa ila kwanini wewe usinisubili stendi nikifika tuongozane kwa kuwa huo mji mimi ni mara yangu ya kwanza nipate kuyafaham mazingira vizuri, hilo akakataa akasema labda nikifika nivute muda hadi usiku ukianza kuingia hapo sawa nikasema sawa.

Pili kimbembe nilipofika sasa kila muda anapigiwa simu yan mara aulizwe hiki mara unafanya nini mara huyo mgeni yupo mara hivi yani hadi nikabaki tu kumuangalia.

Tatu inaonekana hiyo sehemu yani ni aliwatani anafahamika sana sio wamama sio wababa vijana yani wanaonekana wanamfaham sana maana kuna siku aliniambia nimsindikize yani kila mtu njiani anamfaham mpaka nimekosa jibu.

Hayo yote nimeyamezea ila kingine simu yake pattern kila sehem yani hadi ikiita hadi uweke pattern ndo upokee.

Nilikaa kama wiki mbili huo mkoa ila niliona kama mwezi, kingine alikuwa analazimisha sana nimpe mimba sasa hapo sikuwa naelewa alikuwa ana maana gani.

Yan mi kutokana na hayo mambo hata mzuka wa kufanya nae bila kondom ukawa umeniondoka kwahyo akawa ana lalamika kwa nin sitaki kulala nae bila kondomu inamaana simuamini au? Mi nikawa namwambia tuu kwamba ni kwa ajili ya kuzuia mimba yeye akawa analazimisha nimpe mimba.

Hivi jamani huyu mwanamke anafaa kuwa mke kweli au nipotezeeane nae niangalie kwingine.
Ukiona manyoya ujue kuku keshaliwa huyo binti anaonekana si mwaminifu ameshakuwa na wapenzi kibao mtaani ni matatu moja akuambukize maradhi pili siku ukirudi kwake upigwe na washikaje wake na tatu aendelee kukuchuna na kukupoteza muda wako.
 
Wakubwa habari ya mihangaiko..
Kijana wenu nimekuja nahitaji msaada wa kimawazo hapa kidogo naamini wapo wazee wenye hekima nitapata msaada.

Awali ya yote mimi ni kijana wa middle 90's nina mpenzi wangu yeye ni wa late 90's ambae nipo nae kwenye mahusiano yapata mwaka wa 4 sasa.

Tangu tuwe kwenye mahusiano hakuna baya alilowahi kunifanyia hata mimi nimejitahidi kuwa muaminifu sana kwake.

Kwa sasa yeye ni muajiriwa yupo mkoa X namimi nimejiriwa nipo mkoa Y.

Lengo la huu uzi ni hii kauli yake ambayo inanipa ukakasi kwa kiasi fulani kuichanganua yani kila tukiwa tunawasiliana labda ikitokea tumehitilafiana kidogo au pakubwa utamsikia..

Una bahati kwa sababu wewe ni mwanaume wangu wa kwanza ila tungeshaachana

Sasa hii kauli kidogo inanipa maswali mengi.

Mipango yetu ni kwamba mwishoni mwa huu mwaka tumalize taratibu zote ikiwezekana tufunge na ndoa lakini kidogo nimeanza kupata ukakasi juu ya hili..

Mwezi uliopita nilipata likizo ikabidi nimtembelee huko alipo ila kuna mambo zaidi yamenichanganya.

Kwanza aliniambia nikifika nitafuta boda boda anipeleke anapoishi maana nikiwaambia boda boda tu wanapajua, nikamwambia sawa ila kwanini wewe usinisubili stendi nikifika tuongozane kwa kuwa huo mji mimi ni mara yangu ya kwanza nipate kuyafaham mazingira vizuri, hilo akakataa akasema labda nikifika nivute muda hadi usiku ukianza kuingia hapo sawa nikasema sawa.

Pili kimbembe nilipofika sasa kila muda anapigiwa simu yan mara aulizwe hiki mara unafanya nini mara huyo mgeni yupo mara hivi yani hadi nikabaki tu kumuangalia.

Tatu inaonekana hiyo sehemu yani ni aliwatani anafahamika sana sio wamama sio wababa vijana yani wanaonekana wanamfaham sana maana kuna siku aliniambia nimsindikize yani kila mtu njiani anamfaham mpaka nimekosa jibu.

Hayo yote nimeyamezea ila kingine simu yake pattern kila sehem yani hadi ikiita hadi uweke pattern ndo upokee.

Nilikaa kama wiki mbili huo mkoa ila niliona kama mwezi, kingine alikuwa analazimisha sana nimpe mimba sasa hapo sikuwa naelewa alikuwa ana maana gani.

Yan mi kutokana na hayo mambo hata mzuka wa kufanya nae bila kondom ukawa umeniondoka kwahyo akawa ana lalamika kwa nin sitaki kulala nae bila kondomu inamaana simuamini au? Mi nikawa namwambia tuu kwamba ni kwa ajili ya kuzuia mimba yeye akawa analazimisha nimpe mimba.

Hivi jamani huyu mwanamke anafaa kuwa mke kweli au nipotezeeane nae niangalie kwingine.
Jenga urafiki na washikaji wa mtaani au wauzaji dukani bila yeye kujua ili ujue matukio yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom