UN yakubali kushindwa mgogoro wa Ukraine baada ya kiev kushambuliwa

Nchi ya kwanza itakayopinga ni US nawengine wote wenye VETO hawatakubali
Hapa ndio hua twasema kua UN inatakiwa ivunjwe nitaasisi yakwanza yahovyo kabisa
Hii OP italeta mabadiliko hii UN haitakiwi kuepo kabisaa
Pia kama itawepo inatakiwa isiwe na jengo la kudumu katika nchi fulani inatakiwa uwe uwanachama wa kiduru kwakila member wa UM

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu....huoni Kama UN ikivunjwa ndio itakua hatari zaidi kwa usalama wa dunia?
 
Naona pro US wa Kuanzia Kilindi hadi mwandiga bila kusahau Namanyele hadi Tunduma mpaka Nanjilinji wanapita humu kwa kunyata ili wasijulikane kana wanapita kwa jinsi wanavyonyooshwa na Putin na hapa wanamsubiri babu anaepungia upepo na kusalimia hewa atoe neno ili wapone
Mzee nae Kama kaanza kukata upepo.....baada ya kuona baadh ya nchi zimeanza kununua gas & fuel ya Putin
 
mauaji ya halaiki ameyafanya marekani na nato syria libya iraq afaghanistani,
kama kupelekwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita wa kwanza kupelekwa awe bill clinton, Bush na Obama,
Hapna mkuu ... Wale hawastahili....coz some are equal than others
 
Huyo Zelenski yeye ni kama wale watoto wakianza kupigana ngumi anakimbilia kusema kwa mwalimu eti fulani kanipiga...mchuma janga hula na wa kwao
West imesema Russia itaijenga Ukraine kwa ulazima
 
West imesema Russia itaijenga Ukraine kwa ulazima
Ukraine ipi itakayojengwa kwa lazima ?wakati Russia Miji anayoiteka anaiunganisha na Russia mpk vita ikiisha hakuna Ukraine tena bandari zote zimechukuliwa na Miji yenye bandari inataka kupga kura kujiunga na donbass km ilivyopigwa kura Crimea,hebu angalia eneo walilobaki nalo Ukraine wiki mbili zilizopita hapo chini na hyo Miji ndio hairudi tena.
IMG_20220425_044431.jpg
 
Ukraine ipi itakayojengwa kwa lazima ?wakati Russia Miji anayoiteka anaiunganisha na Russia mpk vita ikiisha hakuna Ukraine tena bandari zote zimechukuliwa na Miji yenye bandari inataka kupga kura kujiunga na donbass km ilivyopigwa kura Crimea,hebu angalia eneo walilobaki nalo Ukraine wiki mbili zilizopita hapo chini na hyo Miji ndio hairudi tena.View attachment 2206967
Kuna tetesi kuwa NATO wanampango wa kuinganisha Ukraine na Poland baada ya zoezi lao Ukraine ku-join na NATO kushindikana wameshaanza kusogeza majeshi yao mpakani mwa poland na Ukraine.
Uingereza nayo juzi imepeleka askari wake 8k Poland kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ,huku Russia anazidi kujimegea tu Ukraine .

ukraine inakwenda kuvunjika vipande vipande , zelensky analitoa sadaka taifa lake
IMG_20220501_104942.jpg
 
Ukraine ipi itakayojengwa kwa lazima ?wakati Russia Miji anayoiteka anaiunganisha na Russia mpk vita ikiisha hakuna Ukraine tena bandari zote zimechukuliwa na Miji yenye bandari inataka kupga kura kujiunga na donbass km ilivyopigwa kura Crimea,hebu angalia eneo walilobaki nalo Ukraine wiki mbili zilizopita hapo chini na hyo Miji ndio hairudi tena.View attachment 2206967
Daaaah kumbe Ni hatareee
 
Kuna tetesi kuwa NATO wanampango wa kuinganisha Ukraine na Poland baada ya zoezi lao Ukraine ku-join na NATO kushindikana wameshaanza kusogeza majeshi yao mpakani mwa poland na Ukraine.
Uingereza nayo juzi imepeleka askari wake 8k Poland kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ,huku Russia anazidi kujimegea tu Ukraine .

ukraine inakwenda kuvunjika vipande vipande , zelensky analitoa sadaka taifa lakeView attachment 2207090
Duuuuh
 
Naona pro US wa Kuanzia Kilindi hadi mwandiga bila kusahau Namanyele hadi Tunduma mpaka Nanjilinji wanapita humu kwa kunyata ili wasijulikane kana wanapita kwa jinsi wanavyonyooshwa na Putin na hapa wanamsubiri babu anaepungia upepo na kusalimia hewa atoe neno ili wapone
mkuu pata maji kubwa popote ulipo😅😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom