UN: Watu Bilioni 3 duniani hawana uwezo wa kununua chakula bora

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Milo isiyo bora ni miongoni mwa visababishi vikubwa vya baadhi ya Magonjwa. Hata hivyo, Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) zinaonesha watu Bilioni 3 duniani kote hawana uwezo wa kununua Vyakula bora kwa Afya

Kwa mujibu wa UN, Lishe isiyo bora husababisha vifo Milioni 11 kila mwaka. Aidha, Takwimu pia zinaonesha watu wengine 420,000 hufariki dunia kutokana na ulaji wa vyakula visivyo salama

=======

The Coalition of Action for Healthy Diets from Sustainable Food Systems for all (HDSFS), brings together governments, UN agencies, civil society organizations, academic institutions, and social movements.

It is one of the outcomes of the UN Food Systems Summit held in September 2021, as part of the Decade of Action for delivery on the Sustainable Development Goals(SDGs) by 2030.

The Summit called for progress towards achieving the SDGs by examining how food systems are linked to global challenges such as malnutrition, climate change, and poverty.

Sickness and inequality

The HDSFS comes at a crucial time, according to the World Health Organization (WHO), one of its members, because “our food systems are making us sick”.

Every year, unhealthy diets cause 11 million deaths, while a further 420,000 people die from consuming unsafe foods.

Unhealthy diets are also related to six of the top 10 risk factors for the global burden of disease, but some three billion people worldwide cannot afford to buy healthy food.

“The burden of malnutrition represents a violation of the human right to food and continues to drive health and social inequalities,” said WHO.

The picture gets worse, as the UN agency said the unsustainable practices which define food systems today are also driving deforestation, biodiversity loss, the depletion of the oceans, antimicrobial resistance, and the emergence of zoonotic diseases.

Source: United Nations
 
Humo lazima niwemo maana sio Kwa usawa huu tumebaki kula matapu tapu yasiyo na rishe Wala Kinga ya mwili dhidi ya magonjwa nyemelezi,,,
Mfano Leo nakuta mtu anakuka viazi vitamu vyakuchemsha akishushia na soda ya mrinda Sasa hapo sijui unakuwa unatengeneza vitamin gani???
 
Back
Top Bottom