UN: Wanawake 300,000 kila mwaka hufa kwa saratani ya shingo ya kizazi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Mwezi Januari hutumiwa na Umoja wa Mataifa (UN) kama mwezi wa kuongeza uelewa wa saratani ya shingo ya kizazi ambayo inawaathiri wanawake.

UN imesema wanawake 300,000 kila mwaka hufariki dunia kutokana na saratani ya shingo ya kizazi. Lakini wameweka wazi kuwa ugonjwa huo unaweza kuzuilika kwa kupata chanjo.

Aidha UN inaamini kuwa Saratani ya Shingo ya Kizazi inaweza kuwa aina moja ya saratani kuwa ya kwanza kutokomezwa ikiwa 90% ya wasichana watapata chanjo, 70% ya wanawake watapimwa na 90% ya wanawake wenye saratani ya shingo ya kizazi watatibiwa

-
 
Back
Top Bottom