UN: Wanahabari 1,200 wameuawa kwa kipindi cha mwaka 2006 hadi 2019

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
2,768
2,000
Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa Wanahabari 1,200 wameuawa kwa kipindi cha miaka 14 iliyopita kutokana na kuhabarisha Umma.

Wauaji 9 kati ya 10 huwa hawaadhibiwi, hali ambayo Umoja wa Mataifa umesema inaongeza mauaji ya Wanahabari hivyo kuwataka watu kuhakikisha wanapaza sauti kuhakikisha kuna Utawala wa Sheria.

Kwa kutambua hilo, Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeifanya siku ya Novemba 2 kuwa Siku ya Kimataifa ya Kutaka Wanaowaua Wanahabari wachukuliwe hatua.

Moja ya Ujumbe wao unasema, "Bila Wanahabari hakuna Uanahabari, bila Uanahabari hakuna Demokrasia"

======

In the past fourteen years (2006-2019), close to 1,200 journalists have been killed for reporting the news and bringing information to the public. On average, this constitutes one death every four days. In nine out of ten cases the killers go unpunished. Impunity leads to more killings and is often a symptom of worsening conflict and the breakdown of law and judicial systems. UNESCO is concerned that impunity damages whole societies by covering up serious human rights abuses, corruption, and crime. Governments, civil society, the media, and everyone concerned to uphold the rule of law are being asked to join in the global efforts to end impunity.

It is in recognition of the far-reaching consequences of impunity, especially of crimes against journalists, that the United Nations General Assembly adopted Resolution A/RES/68/163 (link is external)at its 68th session in 2013 which proclaimed 2 November as the ‘International Day to End Impunity for Crimes against Journalists’ (IDEI). The Resolution urged Member States to implement definite measures countering the present culture of impunity. The date was chosen in commemoration of the assassination of two French journalists in Mali on 2 November 2013.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom