UN: Waandishi 62 waliuawa 2020 wakitekeleza majukumu yao

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema kwa mwaka 2020, waandishi wa habari 62 waliuawa. Idadi imeongezeka huku kesi 9 kati ya 10 za matukio huwa adhabu hazitolwi kwa watuhumiwa

Amesema #COVID19 imeonesha suala la taarifa ni suala la kufa au kupona ambapo ni muhimu kuwaacha waandishi wa habari wafanye kazi zao kwa usalama ili kukuza Demokrasia na Utawala wa Sheria

Aidha ametoa wito kwa nchi wanachama kuchunguza na kuwashtaki watu wote wanaohusika na kuwadhuru wanahabari kwa kuwateka, kuwatesa, kuwaua na kuwadhalilisha
 
Back
Top Bottom