UN: Sex between men fuelling Aids in EA

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
By KEVIN J KELLEY
Special Correspondent
THE EAST AFRICAN

A new United Nations report cites injected drug use and sex between men as important factors in East Africa’s Aids epidemic. A prevalent male attitude of supremacy over women is also identified as a key reason why the Aids virus continues to spread in Kenya, Tanzania and other African countries.

The findings are contained in “Securing Our Future,” a report by the UN Commission on HIV/Aids and Governance in Africa, issued last week to coincide with a special General Assembly session on the epidemic.

The commission is headed by Kenneth Kaunda, former president of Zambia, and by Pascal Mocumbi, former prime minister of Mozambique.

Referring to East Africa, the commission makes note of several recent studies indicating that “sex between men could be an important factor in several of the epidemics in this region, despite the widely held assumption that sex between men is ‘alien’ to African societies.”

More than 700 men sell sex to other men in Mombasa, according to a study cited in the UN report. That implies there is “a reasonably large population of male clients [in Mombasa] willing to pay for sex with men,” the UN adds.

Homosexual activity may be widespread in Kenya, the report suggests. “Several other studies have been able to easily locate and enrol men who have sex with men as participants,” the UN commission points out.

Rates of HIV infection appear to be above-average for men in Kenya who have sex with other men. For example, a study in Kilifi of men who have sex with men found HIV to be present in more than 38 per cent of those tested. Lower rates among men who engage in homosexual acts have been measured in other parts of Kenya, the UN report adds, citing a figure of 11 per cent among men at counselling sites.

The overall HIV infection rate in Kenya is currently estimated at 4.6 per cent for adult men and 8.7 per cent for adult women.

Abuse of gay men may be contributing to the spread of the Aids virus in Kenya, the UN report suggests. It points to a study in Nairobi in which one in four homosexual or bisexual men said they had been treated aggressively or humiliated in public in the previous 12 months.

Many women in turn face elevated risks of contracting HIV as a result of the higher infection rate among men who have sex with men.

According to the UN Commission, “many men use their greater status, incomes and access to other resources to buy, coerce or exchange sex from women and girls. In turn, men justify their behaviours on the basis of cultural and social values that encourage having multiple sexual partners.”

Women married to men who have multiple sex partners may become infected with HIV as a result of their husbands’ behaviour, “over which they wield little if any control,” the UN report says. “For many women, marriage and fidelity are no protection against HIV.”

Rape inside marriage is commonplace in Africa and carries a heightened risk of HIV infection for women, the commission adds. “Women are obliged to have intercourse any time and under risky conditions: e.g., male spouses having sexual relations with other women, becoming infected with sexually transmitted diseases, and demanding sex under the influence of alcohol. Trauma caused by forced sex increases the likelihood of HIV transmission,” the report says.

Intravenous drug use represents “an increasingly important factor” in the Aids epidemics in Kenya, Tanzania, South Africa and Mauritius, the UN commission further finds.

It points to research showing that high-risk behaviours are common among those who inject drugs, with the consequence that HIV infection rates are higher than for the general population. About 80 percent of intravenous drug users interviewed in Malindi, Mombasa and Nairobi said they had used needles after someone else had used them, the commission reports. And up to half of the intravenous drug users tested in Mombasa and Nairobi were found to be HIV-positive.

“In some urban areas on the Tanzanian mainland, injecting drug use has also emerged as a potentially important factor in the HIV epidemic,” the report states. In a 2005-2006 study in Dar es Salaam, for example, 58 percent of nearly 100 female heroin users surveyed were found to be HIV-positive. The corresponding figure for the 319 males included in the Dar study was 27 per cent.

The overall HIV infection rate has been declining in both Kenya and Tanzania in recent years, the UN study notes. Uganda, however, is experiencing “a late increase in HIV prevalence,” it adds.

About 1.7 million Africans were newly infected with HIV last year, bringing the total number living with the virus to 22.5 million — by far the highest prevalence of any region in the world. An estimated 40 million Africans have died from Aids since the epidemic began to be closely tracked in the early 1980s.
 
wanaume tubadilike.....! na akina mama nao mbadilike....!
tutajieni tubadilike wapi ... na ninyi mbadilike katika sekta zifuatazo....!
MAVAZI, KUUZA (kili time, corner bar, kwa macheni etc) EASY PREY....! (siku hizi wanawake karibia wote ni maharage ya mbeya).....! MIZINGA (wanawake mnapenda mno kubomu) try to change ili tupunguze hili janga....!
TUTAJIENI MADHAIFU YETU TUBADILIKE....!
 
Na nyie msiponunua si biashara inakufa natural death.
Mavazi si sababu kwani kabla ya ustaarabu wa mavazi kuibuka toka sehemu za baridi- watu walitembea uchi- na hakuna aliyekuwa ananunua hovyo.
Mnawaona easy pey kwa vile wakiwakataa mnawaponda na kuwatangazia uwongo, wengi wa wanaume ni wanok nok.

Mwanaume ni kiini cha mabadiliko.
 
na Nyie Msiponunua Si Biashara Inakufa Natural Death.
mavazi Si Sababu kwani Kabla Ya Ustaarabu Wa Mavazi Kuibuka Toka Sehemu Za Baridi- Watu Walitembea Uchi- Na Hakuna Aliyekuwa Ananunua Hovyo.
Mnawaona Easy Pey Kwa Vile Wakiwakataa Mnawaponda Na Kuwatangazia Uwongo, Wengi Wa Wanaume Ni Wanok Nok.

Mwanaume Ni Kiini Cha Mabadiliko.
Huo Sasa Si Mtazamo Chanya ......! Sisi Wanaume Tunaona Ni Tatizo, Ndo Maana Nikasema Na Ninyi Mtoe Mtazamo Wenu Tubadilike Wapi.....!
Ukianza Kujitetea Na Sisi Tukijitetea Hatutafanikiwa .....! Badilikeni Nasi Tubadilike....!
 
Mfunge zipu zenu kwa makufuli ya chuma ili isiwe rahisi kununua hata mnapokuwa mmelewa!Unless muamue kutembea na nyundo(whatever) za kubomolea hayo makufuli. Yani mnaudhi kama nini, huwa hamshauriki kabisa kuhusu huko chini. Badilikeni muache kuwa stereotype.
 
aahh! Mama! Kufuli ya chuma haioni ndani inapokuja kwenye nanino...:)..lakini tubadilike wote. Na wale wanawake wakijua unaliangalia wowo basi huongeza miondoko ya kulizungusha lile wowo waache hayo...kuwe na faini ya kulitingisha wowo kupita kiasi....:). Kuangalia wowo pia kuwe kunatozwa kodi ambayo itaingia hazina, ukiingalia wowo tu njemba ya TRA inakudaka na kukutwanga kodi ya 2,000 kwa kuangalia wowo dogo dogo na shilingi 4,000 kwa kuangalia wowo kubwa kubwa...hiki kitakuwa ni chanzo kizuri na kikubwa cha mapato kwa sirikali....LOL!
 
kwi kwi kwi, itakuwa njema sana kwani serikali inapunguza uomba omba wake. By the way, this is serious we need to change, its okay to envy Gods's creation and also to fall in love without sex. Let sex be for married people na married people be loyal to the relationship.
 
Mfunge zipu zenu kwa makufuli ya chuma ili isiwe rahisi kununua hata mnapokuwa mmelewa!Unless muamue kutembea na nyundo(whatever) za kubomolea hayo makufuli. Yani mnaudhi kama nini, huwa hamshauriki kabisa kuhusu huko chini. Badilikeni muache kuwa stereotype.

...mama , (ashakum si matusi) it all depends with which head thinks and 'reacts' first!
 
kwi kwi kwi, itakuwa njema sana kwani serikali inapunguza uomba omba wake. By the way, this is serious we need to change, its okay to envy Gods's creation and also to fall in love without sex. Let sex be for married people na married people be loyal to the relationship.

And married people should ensure that their mates are satisfied at home in order to avoid the possibility of looking for satisfaction outside their home....in simple word, to avoid cheating....:)
 
...mama , (ashakum si matusi) it all depends with which head thinks and 'reacts' first!

if you think using the down head, it means your upper head is not functioning and so do ur brain. In this regard you are already dead; you are a ghost so bring youself to the grave.
 
kwi kwi kwi, itakuwa njema sana kwani serikali inapunguza uomba omba wake. By the way, this is serious we need to change, its okay to envy Gods's creation and also to fall in love without sex.

...hayo mambo ya kunywa chai ya rangi tena bila sukari, mnh!!!

Let sex be for married people na married people be loyal to the relationship.

...na isipowezekana (kwasababu moja au nyingine) watumie Condom, Salama Condom!. Kuna haja ya kuwa mkweli katika nafsi ya kila mtu kutembea na kinga, maana tiba haijapatikana.
 
...hayo mambo ya kunywa chai ya rangi tena bila sukari, mnh!!!

...na isipowezekana (kwasababu moja au nyingine) watumie Condom, Salama Condom!. Kuna haja ya kuwa mkweli katika nafsi ya kila mtu kutembea na kinga, maana tiba haijapatikana.

inawezekana unaabudu mchezo huo, you need mental help...kwi kwi kwi. Huna haja ya kutembea na kinga, kwani ni chakula hiyo useme usipopata kwa wiki moja au mwezi utakufa?
 
Kuna njemba nyingine nimezisikia kwa masikio yangu zikidai kwamba mwanamke mzuri kama yule ukitumia kinga basi Mungu anakulaaani...:( Na kina mama nao wanakuja juu unapotumia kinga....unaniona mimi malaya!? kwa nini unaniogopa na kunivalia hilo dude lako!? Mimi si changu doa...na sipendi kupotezeana muda kama unataka kuvaa hilo dude lako machangu doa wako chungu nzima....unabaki mdomo wazi....haya ni mazungumzo ya vijiweni hayajanitokea mimi....hivyo bado tuna safari ndefu sana katika kulishinda hili gonjwa
 
inawezekana unaabudu mchezo huo, you need mental help...kwi kwi kwi. Huna haja ya kutembea na kinga, kwani ni chakula hiyo useme usipopata kwa wiki moja au mwezi utakufa?

...kuishi kwingi kuona mengi, nishakutana na kila kituko hapa duniani, kuna wenye 'upupu', kuna wenye 'pepo ya ngono',...
 
...kuishi kwingi kuona mengi, nishakutana na kila kituko hapa duniani, kuna wenye 'upupu', kuna wenye 'pepo ya ngono',...

Kuna njemba mmoja tulikuwa tunafanya kazi naye alikuwa haoni aibu kutamka hadharani kwamba hawezi kupitisha siku bila kupata nanino, au vinginevyo akili haifanyi kazi. Tulipokuwa tunamuuliza je huogopi kugusa miwayawaya? Akadai ajali kazini huwezi kuikwepa na yeye alidai alikuwa anaambulia mafua ya hapa na pale tu, miwayawaya inawaathiri wasiopata lishe bora, na huyu jamaa alikuwa ameenda shule!!!! Aligusa miwayawaya na alifariki 1995. Wako watu wanajiendekeza na chochote kinachokatisha machoni mwao ni halali yao bila woga wala aibu.

Halafu kuna kundi jingine la wale wenye pesa ambao wameamua kufa na wengi. Wao hutumia vijisenti vyao kusambaza kwa wanawake wazuri wa kukata na shoka na hutoa dau la kubwa. Mbaya zaidi inasemekana baadhi ya wanawake huwa wameshasikia kwamba jamaa ni muathirika lakini na wao wanasema ipo siku nitakufa tu hivyo sioni ubaya wowote wa kuchangamkia vijisenti...na wengi hupewa mpaka magari mapya....for a job well done! :(
 
"In some urban areas on the Tanzanian mainland, injecting drug use has also emerged as a potentially important factor in the HIV epidemic," the report states. In a 2005-2006 study in Dar es Salaam, for example, 58 percent of nearly 100 female heroin users surveyed were found to be HIV-positive. The corresponding figure for the 319 males included in the Dar study was 27 per cent. "

...Hizi figure zina reflect tatizo kubwa hapo Dar kuliko linavyojionyesha kwenye heading!

zaidi ya nusu walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya, pia wameathirika na ukimwi!!!.... inawezekana pia hawa wakawa ni machangudoa.
Ili wapate pesa za ku fuel addiction yao, inabidi wajiuze... hapo utakuta walio tayari kuuza miili yao bila kinga, ili tu wapate pesa.

Inasikitisha.

Kuna njemba mmoja tulikuwa tunafanya kazi naye alikuwa haoni aibu kutamka hadharani kwamba hawezi kupitisha siku bila kupata nanino, au vinginevyo akili haifanyi kazi. Tulipokuwa tunamuuliza je huogopi kugusa miwayawaya? Akadai ajali kazini huwezi kuikwepa na yeye alidai alikuwa anaambulia mafua ya hapa na pale tu, miwayawaya inawaathiri wasiopata lishe bora, na huyu jamaa alikuwa ameenda shule!!!!

...mbaya zaidi kuna mpaka public figures walokwenda shule lakini na wao walishaeneza fikra potofu kuhusu UKIMWI,

mfano;
Jacob Zuma, baada ya kuzini na muathirika wa UKIMWI alikwenda kukoga ili 'wadudu' watoke, (as if ni jasho!)

Yahya Jammeh, rais wa Gambia anaamini 'maji yake' ya uzima yanatibu UKIMWI!

Mchungaji (Dr) mama Rwakatare anaamini kwa nguvu ya maombi anaweza kuwaponya watu UKIMWI!

...sishangai hao ma~junkie, na 'watu wa pwani' -LAMU wanaosema ajali kazini¬
 
Kuna njemba nyingine nimezisikia kwa masikio yangu zikidai kwamba mwanamke mzuri kama yule ukitumia kinga basi Mungu anakulaaani...:( Na kina mama nao wanakuja juu unapotumia kinga....unaniona mimi malaya!? kwa nini unaniogopa na kunivalia hilo dude lako!? Mimi si changu doa...na sipendi kupotezeana muda kama unataka kuvaa hilo dude lako machangu doa wako chungu nzima....unabaki mdomo wazi....haya ni mazungumzo ya vijiweni hayajanitokea mimi....hivyo bado tuna safari ndefu sana katika kulishinda hili gonjwa
Kamanda naona jinsi ulivyojihami :D :D

Mada pamoja na mengi inagusa wanaume wanaotembea na wanaume wenzao... Hali hii ni mbaya mno na inazidi kukua katika Tz, madawa ya kulevya nayo yanashika kasi, inatisha zaidi kuona na kinamama wameshaingia kwenye kujiunga sindano kwa kasi ya nguvu...
 
Mungu peke ndiye atakae tuokoa kwa kuzingatia maagizo yake ya kutosogelea wala kukurubia zinaa ... kwa wenzetu wa kristo miili yetu ni nyumba ya Mungu .. na Mungu hapendi nyumba chafu ... with these guidelines and concepts .. tujifunze kuheshimu miili yetu ... kwani kwakufanya hivyo tunakuwa karibu na Mungu.

Zina pia ni mbaya sana ... ni kitendo cha aibu ... kinaleta mitafaruku na laana kwa mtu ... na kinapunguza umri pia ... maana tunaambiwa kwa waislamu ... siku ya kiama wazinifu wote watafufuliwa na ... sura zao zimebandikwa nyuchi za wote aliyozini nao ... Mwenyezi atunusuru tusiwe katika kundi hili
 
Kamanda naona jinsi ulivyojihami :D :D

Mada pamoja na mengi inagusa wanaume wanaotembea na wanaume wenzao... Hali hii ni mbaya mno na inazidi kukua katika Tz, madawa ya kulevya nayo yanashika kasi, inatisha zaidi kuona na kinamama wameshaingia kwenye kujiunga sindano kwa kasi ya nguvu...

Naona wengi wanalikwepa hili la ushoga. Tatizo hili ni kubwa hasa kwa vile jamii yetu inawahukumu mashoga tu na sio wale wanaotembea nao. Kwa wenzetu, wote wanahesabiwa ni Gays, mtumiwa na mtumiaji. Kwetu sisi kuna watu wanaona sifa kutembea na mashoga (kuanzia mashuleni ambako wale wanaojifanya wababe wanawalazimisha wale walio wanyonge kwao kutembea nao mpaka kwenye majela yetu) bila kujihesabu kuwa nao ni 'gay'. Wengi wa hawa wameoa au wana marafiki wa kike ambao wanaendelea kutembea nao. Inabidi tuanze kwa kujiangalia wenyewe na kuitambua hali iliyopo ndipo tutakapoweza kufanikiwa kupambambana na ugonjwa huu hatari. Kukataa kuwa sisi wanaume tuna wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa tunawatendea haki wenzetu ni kuwa kama ostrich. Mwanaume malaya anabidi aangaliwe kama vile tunavyomwangalia mwanamke malaya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom