UN Security Council yasafisha njia kuivamia Mali kijeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UN Security Council yasafisha njia kuivamia Mali kijeshi

Discussion in 'International Forum' started by zeus, Oct 14, 2012.

 1. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UN Security Council tarehe 11 oct 2012 imepitisha azimio ambalo linataka viongozi wa jumuiya ya Afrika Magharibi kubainisha mara moja ndani ya siku 45 namna (mikakati) ya kuivamia Mali kijeshi na kuwango'a waasi walioipindua serikali. Inadaiwa uvamizi huo unahalalishwa na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na waasi pamoja na baadhi ya makundi ya kiislam yenye itikadi kali yanayotakak kupitisha sharia za kiislamu kwa watu wote na wenye link na Al Qaida


  habari zingine zinathibitisha kuwa kweli hawa waasi wakiwemo waislam wa itikadi kali wanafanya maovu ya kutisha kama mauaji ya raia, kuadhibu wamama ambao hawajaolewa, kuteka watu, kulazimisha watoto kujiunga na majeshi yao, nk

  my take: kama kweli waasi wanakiuka haki za binadamu kiasi hicho, basi ni bora kuingilia mali kijeshi na kurudisha hali ya usalama
  soma azimio hapa http://www.franceonu.org/IMG/pdf/121012_Mali_draft_res_-_E.pdf
   
 2. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,639
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Yetu mimacho
   
 3. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  hAYA MAGROUP YOTE YA KIISLAMU YANAYO LETA MAUAJI NA KUWATESA WATU, YAMEJITOKEZA BAADA YA NCHI NYINGI ZA aFRICA KUSITA KUUNGANISHA UNITED STSTE OF aFRICA. Hivyo Ilikuwa ajenda ya sili ya kuwanyima raha wakristo mara baada ya kuunganisha africa. Unyama huu wa boko ungekuwa unausikia unafanyika mahali ambapo kuna wakristo wengi kama zambia, Mozambique angola mna kwingine. Maana madai yao ni ya kitoto sana ya kutaka watu wasivae nguo za west europe kama suruali na suti na bellon. Halafu kuleta utawala wa sharia.

  kwa kweli africa tungekiona cha moto. maana ukiunganisha nchi tuu watu huingia bila ya passpoti na kuishi watakavyo tuu. basi ungekuta mtu anatoka Mali au nigeria nakuja kulipua bomu Kagera.Qadafi alikuwa na sera za kinyama sana kwa wakristo hapa barani africa ndiyo maana alililia sana kuunganisha mataifa kwa mpigo na kasi.
   
Loading...