Hao ni matapeli hasa "watch out" usijaribu kuomba maana mwisho wa siku utaombwa pesa. Taasisi zote na commission za UN zina website zao zinazojitegemea na ambazo zinaunganishwa na UN Website Locator. Taasisi hiyo haimo miongoni mwa taasisi za UN. Unaweza kuingia hapa
http://www.unsystem.org na utapata taasisi zote za UN zinazotambulika. Pamoja na kutafuta kazi, kuweni macho na matapeli wa kimataifa. They tend to use the correct UN address and logo for convincing , but when you dig-in more you fill find that are conmen.