UN ORGANISATION FOR DEVELOPING COUNTRIES Job opportunities

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,284
4,449
Watanzania wenzangu nafasi za kazi hizo, tuache kulalamika jaribu nafasi bahati yako, usisubiri kupigiwa debe ama pande nafasi za UN wanaangalia zaidi qualifications

Ushi
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,556
3,102
Do not apply haya matangazo ni ya Matapeli wanataka kupata Data Zako ili watengeneze mambo yao.
Kazi za UN au web site zinaishia .org extension tofauti ni za Matapeli, au ukitaka kupa za UN na Organisation zake Visit www.un.org, second UN hawataji mishahara kama ilivyo andikwa na hawa watu. Wao na Scale zao P for Professionals etc.
 
Ngereja

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
798
332
Hao ni matapeli hasa "watch out" usijaribu kuomba maana mwisho wa siku utaombwa pesa. Taasisi zote na commission za UN zina website zao zinazojitegemea na ambazo zinaunganishwa na UN Website Locator. Taasisi hiyo haimo miongoni mwa taasisi za UN. Unaweza kuingia hapa
http://www.unsystem.org na utapata taasisi zote za UN zinazotambulika. Pamoja na kutafuta kazi, kuweni macho na matapeli wa kimataifa. They tend to use the correct UN address and logo for convincing , but when you dig-in more you fill find that are conmen.
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,555
7,954
Eti P-3 127K? hata ukijumlisha na Post Adjustment ya NY hupati hizo!

This is a hoax!

Lakini you know what? kwa sababu ya umaskini wetu wa kutaka kazi kwa udi na uvumba, utakuta thousands wameshapply..nyi acheni tuu jamani............
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,284
4,449
Hao ni matapeli hasa "watch out" usijaribu kuomba maana mwisho wa siku utaombwa pesa. Taasisi zote na commission za UN zina website zao zinazojitegemea na ambazo zinaunganishwa na UN Website Locator. Taasisi hiyo haimo miongoni mwa taasisi za UN. Unaweza kuingia hapa
http://www.unsystem.org na utapata taasisi zote za UN zinazotambulika. Pamoja na kutafuta kazi, kuweni macho na matapeli wa kimataifa. They tend to use the correct UN address and logo for convincing , but when you dig-in more you fill find that are conmen.

Mmh inawezekana hawa ni matapeli!!!Kwa zile package niliingia mkenge, nimeaapply wamenitumia maswali ya kujibu kama 50 hivi, kwanini nataka kufanya nao, kwanini nataka acha nilipo, nitume copy za original certificate ie degrees etc etc urefu, uzito hahahah kazi kweli kweli....nimewwatafuta kwa mtandao ie google hawapo hawa jamaa...thanks guys for info
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom