UN na AU zapinga Mali kuongozwa na jeshi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,078
10,025
Vikosi nchini Mali vimemuondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keïta na kutangaza azma yao ya kuunda serikali ya mpito kabla ya uchaguzi mpya.

Hii inakuja baada ya rais Keïta kuonekana kwenye televisheni akisema kuwa amejiuzulu.

Yeye na Waziri Mkuu walisindikishwa kwa mtutu wa bunduki kutoka mji mkuu Bamako hadi kwenye kambi ya jeshi. Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika wamepinga kuchukuliwa kwa uongozi wa nchi na jeshi la Mali.

Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za magharibi, ECOWAS, lilitangaza kufunga mipaka na nchi hiyo na imesitisha uhusiano wa kifedha na nchi hiyo.

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa litakutana baadae Jumatano.

========================


The United Nations Security Council (UNSC) will hold an emergency session on the situation in Mali on Wednesday afternoon after a meeting was requested by France and Niger.

The country’s President Ibrahim Boubacar Keita resigned on Tuesday and dissolved parliament after mutinying soldiers detained him at gunpoint.

The Council’s move coincides with the UN Secretary General Antonio Guterres condemnation of the actions by the soldiers and his call for the immediate restoration of constitutional order and the rule of law in the country.

Guterres has also demanded the immediate and unconditional release of the President and members of his Cabinet.

The UN Chief reiterated his calls for a negotiated solution and peaceful resolution of their differences and expressed his full support to the African Union (AU) and the Economic Community of West African States (ECWAS) in their efforts to find a peaceful solution to the current crisis, including through the good offices of the UN in that country.

The Security Council has deployed over 15000 personnel to Mali as part of its Peacekeeping Operation there.

UN Security Council to hold emergency session on Mali - SABC News - Breaking news, special reports, world, business, sport coverage of all South African current events. Africa's news leader.


Pia Soma:

1. Breaking News: - Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita ajiuzulu kupitia Televisheni ya Taifa, masaa kadhaa baada ya kuwa chini ya ulinzi wa jeshi

2. News Alert: - Mapinduzi ya Kijeshi Mali: Rais Ibrahim Boubacar Keita na Waziri Mkuu Boubou Cisse watiwa nguvuni na Vikosi vya Jeshi
 
Back
Top Bottom