UN Job Vacancies

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Ndugu zangu watanzania mlioko Tanzania na kwingineko nawaomba kazi hizi nikwa ajili yenu tumeni maombi msiogopetusiwaachie wanaigeria na watu wa west africa tu jiteteeni inashangaza ukienda nje watanzania niwachache kwenye chombo hiki cha un jamani amkeni changamkieni hizi nafasi na wapenda woteNachokijua lazima mlete feedback!!Msiniangushe! link hii hapa chini.
https://careers.un.org/lbw/home.aspx?viewtype=SJ&vacancy=All

http://www.tz.undp.org/operations_vacancies.html

mpya mnaopenda kuitwa boss karibu hapo!
 
Mimi nadhani nikuwa na uzoefu na sifa walizozitaja pili uwe unajua kazi unayoiomba!
 
Asante kaka, mimi nimejaribu sana ila inakuwa ngumu sijui kwa nini?
Nimemaliza MBA
Any assistance I might need?
Angie
 
kazi naijua. Labda ikija kwa uzoefu wakisema miaka 10 sina ila mitatu minne nnayo. Pia in any case nadhani kila ukiingia kwenye org. mpya lazima utapewa induction period ili u-cope na mazingira yao maana kila organization huwa na procedures tofauti na nyingine.
Sijui wapi sijaenda sawa.
angie
 
Muzee mbona hiyo linki ya pili kama kazi za mwaka jana vile....Senksi anyway!
Ndugu zangu watanzania mlioko Tanzania na kwingineko nawaomba kazi hizi nikwa ajili yenu tumeni maombi msiogopetusiwaachie wanaigeria na watu wa west africa tu jiteteeni inashangaza ukienda nje watanzania niwachache kwenye chombo hiki cha un jamani amkeni changamkieni hizi nafasi na wapenda woteNachokijua lazima mlete feedback!!Msiniangushe! link hii hapa chini.
https://careers.un.org/lbw/home.aspx?viewtype=SJ&vacancy=All

UNDP in Tanzania -Vacancies and Consultancies

mpya mnaopenda kuitwa boss karibu hapo!
 
Muzee mbona hiyo linki ya pili kama kazi za mwaka jana vile....Senksi anyway!
Sikweli naona umeamua kunichafua usikatishe tamaa wenye kuhitaji!!Kweli ni wewe pekeyako umeona kam ya mwaka jana??tafuta kazi i click yheni itakupeleka katika galax vacance Compendium ndipo kuna kilakitu jisi yakutuma!Na namda ilipotolewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom