UN: Israel inaunga mkono magaidi

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,985
17,850
Katibu Mkuu wa Umoja wa maraufa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatoa himaya na uungaji mkono kwa makundi ya kigaidi likiwemo la Jabhat al-Nusra linaloendesha harakati zake huko nchini Syria.
Antonio Guterres amesema kuwa, imekuja katika ripoti maalumu ya kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la miinuko ya Golan ya Syria kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel kuna wakati umekuwa ukituma misaada na hata kuwa na uratibu wa moja kwa moja na makundi ya kigaidi ya nchini Syria.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo ni kuwa, hadi sasa kikosi hicho cha Umoja wa Mataifa kimesajili kesi 16 za mawasiliano baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na makundi ya kigaidi.
Wakati Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akieleza hayo, kuna nyaraka za wazi zinazoonyesha kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukiyasaidia makundi ya kigaidi nchini Syria yanayofanya mauaji dhidi ya raia wasio na hatia kwa kisingizio cha kutaka kuindoa madarakani serikali ya Rais Bashar al-Assad.
Baadhi ya ripoti zinaonyesha kuwa, hata magaidi wanaojeruhiwa katika mapigano yao na wanajeshi wa Syria wamekuwa wakipatiwa matibabu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
Licha ya hayo na hata kuweko ripoti za Umoja wa Mataifa zinazothibitisha wazi juu ya misaada ya Israel kwa makundi ya kigaidi, umoja huo umekuwa ukitosheka tu na kutoa ripoti za kukemea kitendo hicho; kwani hadi sasa haujachukua hatua za maana dhidi ya utawala huo ghasibu.
Parstoday
 
Hapa sasa waislamu watafurahi,tusubiri kama nayo wataitenga kama QATAR
 
Hapa sasa waislamu watafurahi
Watafurahi nini wakati marekani ndio iliyoanzisha al qaeda na sasa ndio wafadhili wa ISIS na ndio wao wanaoharibu amani mashariki ya kati wakishirikiana na israel unazani hatujui ugaidi kwa asilimia kubwa unafadhiliwa na marekani na israel duniani ila wajinga huku hawajui hilo kazi kuwatukana waislam na nchi za kiislam

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kama nakuelewa hivi mkuu,ila ONGEZA kidog madini
 
Kumbe kuna kikundi kingine cha kigaidi kinachoitwa

"Jabhat Al Nusra" ?

Ni kwanini vikundi hivi ni vya kiislam tu na hutumia majina ya kiarabu?
 
Karibu kila nchi Mashariki ya kati kuna vikundi vya kigaidi,hata zile unazoona kama zimetulia. Walivyowajinga sehemu ya pesa za hao hao waarabu pia zinatumika kufadhili vikundi hivyo, na lazima vijinasibishe na dini ili kupata wafuasi, maana dini ndio kitu chenye hisia zaidi kwa maana binadamu anaamini kinamuweka karibu na muumba wake na kinaathiri maisha yake . Pia chunguza hivyo vikundi, kama nchi ya kishia kikundi cha kigaidi kinakuwa cha kisunni, kama nchi ya kisunni basi kikundi cha kishia. Aangalia Iran na Kuwait kwa mifano.

Kuhusu Marekani kufadhili makundi ya kigaidi wala sio jambo geni, wanafadhili kwa kuwa wanamaslahi navyo. Na mashariki ya kati ndio kumejaa utajiri wa mafuta. Viongozi wakubwa wa makundi haya wengi ni maafisa usalama na ma asset wa CIA ila wenzangu na mimi huku chini ndio wanakuwa brainwashed kuwa wanapigania dini hao ndio wanaojilipua kila siku. Na hayo mambo yameanza miaka ya 90.

Ukitaka kujua kidogo ushiriki wa hao wakubwa wa dunia katika ugaidi pitia hizi nyuzi

Mfahamu Double Agent wa CIA na EIJ aliyemfundisha OSAMA mbinu za kigaidi na vita

Meir Dagan na ujasusi wa Mossad dhidi ya Iran kumiliki silaha za nyuklia
 
Katibu Mkuu wa Umoja wa maraufa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatoa himaya na uungaji mkono kwa makundi ya kigaidi likiwemo la Jabhat al-Nusra linaloendesha harakati zake huko nchini Syria.
Antonio Guterres amesema kuwa, imekuja katika ripoti maalumu ya kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la miinuko ya Golan ya Syria kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel kuna wakati umekuwa ukituma misaada na hata kuwa na uratibu wa moja kwa moja na makundi ya kigaidi ya nchini Syria.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo ni kuwa, hadi sasa kikosi hicho cha Umoja wa Mataifa kimesajili kesi 16 za mawasiliano baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na makundi ya kigaidi.
Wakati Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akieleza hayo, kuna nyaraka za wazi zinazoonyesha kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukiyasaidia makundi ya kigaidi nchini Syria yanayofanya mauaji dhidi ya raia wasio na hatia kwa kisingizio cha kutaka kuindoa madarakani serikali ya Rais Bashar al-Assad.
Baadhi ya ripoti zinaonyesha kuwa, hata magaidi wanaojeruhiwa katika mapigano yao na wanajeshi wa Syria wamekuwa wakipatiwa matibabu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
Licha ya hayo na hata kuweko ripoti za Umoja wa Mataifa zinazothibitisha wazi juu ya misaada ya Israel kwa makundi ya kigaidi, umoja huo umekuwa ukitosheka tu na kutoa ripoti za kukemea kitendo hicho; kwani hadi sasa haujachukua hatua za maana dhidi ya utawala huo ghasibu.
Parstoday
Acha uongooooooooo,mm mwenyewe naamin Israel TAIFA takatif achana na mataifa yanayo taka kuifutilia mbali Israel, ndoomana hayaish kugombana kwa roho mbaya inayo ambatana na dini yao ya chuki na ugomvi.takbir. kama ilivyo maans ya yerusalem na iwe hivyo kwa israel .tskbir.
 
Watafurahi nini wakati marekani ndio iliyoanzisha al qaeda na sasa ndio wafadhili wa ISIS na ndio wao wanaoharibu amani mashariki ya kati wakishirikiana na israel unazani hatujui ugaidi kwa asilimia kubwa unafadhiliwa na marekani na israel duniani ila wajinga huku hawajui hilo kazi kuwatukana waislam na nchi za kiislam

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Bas haowaislam na nchi za kiislam hawajitambui kama wana kubali kupigana kwenye maslah yao hafifu.
Mim najua dini ya kiislam no din ya mabavu , mfano kale chakula mchana Zanzibar saiz utajua na ule chakura hasa nyama wkt wjum kuu ya kwaresma kama uta pigiwa kelele. Wanalazmisha utambue dini yao kwa mabavu na sio matendo yao mazur, wanaua watu kwa kukimbiria mabikira .... Hko waendako wakifa.Nidiya ya uharifu kwa asilimia kubwa.
Mataifa ya kiislam yana eneza chuki .mfano kuifutilia mbali israel, hata kama hawawapend waisrael ndo wawaze kuwafuta kwenye uso wa dunia? Hapo utajua dini na mataifa ya kiislam ni chuki.
Hata mashulen waislam hua wanapenda kupendelewa na kufanya vitu vya kidin zaid kwenye umma. Nikiwa nasoma shule ya Lyamungo mwaka fulan mtt wa stivin kebwe amewahi fukuzwa shule na mwalim wa kiislam kwa kutumia kopo la pinati na akamwambia la kuchambia.wkt kila mtu anaiman tofaut.

Dunia ingekua salama pasingekuwepo na uislam.
 
Uislam ndio unakufanya wewe uwe salama na unaweza kulala shauri ya uislam soma kaka uondokane na ujinga acha kusikiliza propaganda za dunia

Back
Top Bottom