UN & ICJ Kuamua Utaifa Wa Zanzibar:Wazanzibari Wapeleka Rasmi Kilio Chao

Junius

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
3,181
139
A GROUP of Zanzibaris led by Mr Rashid Salum Adiy have written to the United Nations (UN) Secretary General, Mr Ban Ki-moon, demanding him to define Zanzibar's geographical sovereignty, threatening that failure to do so, they would be forced to address the issue to International Court of Justice at the Hague.

In their letter to the UN boss dated August 14, this year, the group wants the UN to explain Zanzibar and Tanganyika thoroughly as far as UN membership was concerned and the legality of the union of Tanganyika and Zanzibar.

"Failure by the UN to respond in 14 days will leave our clients with no other alternative, but seek legal redress against union president, the attorney generals of both union and Zanzibar, the House speakers of both union and Zanzibar, the Secretary General of Revolutionary Council of Zanzibar and yourself (UN chief)," the notice reads.

According to the notice written by J.C. Chidzipha & Co. Advocates of Mombasa in Kenya, the group of Zanzibaris claiming to represent all Zanzibaris in the islands seek to establish "whether by the UN Charter and the standards on international law, the union between the Tanganyika and Zanzibar was perfectly legal and constitutional or simply conceived to serve the political expediencies of the time."

They also demand to know whether the application by the union of Tanganyika and Zanzibar to join the UN as a distinct sovereign member state was discussed by the Security Council before it was approved.

Mr Adiy and his colleagues in the group of 11 Zanzibaris also ask from the UN boss whether there was a letter of approval from the United Nations to the Republic of Tanganyika, confirming the withdrawal of permanent seat and membership of Zanzibar before the union was declared.

The members of the group have been arguing since 2007 when they filed a case in the Zanzibar High Court, wanting to be shown the original copy of agreement of the union between Tanganyika and Zanzibar, that the union ‘is illegal' and pray to be revoked to pave way for the reformation after fresh discussions.

SOURCE:
DAILY NEWS.
 
oooh How I wish this is a dream come true.....who knows,, it could be the end of all these woes on the so called Union.
 
Last edited:
Hapa kuna kazi,hata hivyo hili suala lingepelekwa ICJ ingekua vizuri sana but ICJ nayo inasema kesi zake zipelekwe kwa baraka ya Mataifa husika.So it is merely a political entity.

Pia ni toothless court coz URT ikiwa kichwa ngumu ICJ itafanya nini hasa? Sana sana watakua wamewapa moral authority wazanzibari kuanzisha vurugu kutokana na decision yoyote ya ICJ.Wanatakiwa watumie busara sana
 
Kwani huko "Zanzibar/Pemba" kunatawaliwa na Mkoloni gani? Hivi tuseme wazanzibari/Wapemba wote hawajui kuwa wa kumtoa adui yao ni mikono yao na sio huko wanakokimbilia!!

Au ndio mambo yetu yale ya kusubili mabadiliko yatokee na sio kuwa sehemu ya kufanikisha mabadiliko.

Kazi ipo!!!!!!
 
Ama kweli hata wakati wa mataifa mbalimbali kudai uhuru walianza hivi hivi. Hii picha inaonyesha kuonyesha kuwa kumbe Zanzibar ni koloni la Tanganyika.
 
sasa je wakishapata uhuru wa taifa lao ndo meandeleo?? Je Comoro na Madagaska wako huru toka hapo.. choka mabya tu!

Visiwani hawataki kufanya kazi ni siasi tu na kulalamika..mimi nadhani mtu akililia wembe mpe!

Bara hakuna cha maana wanachofaidika nacho kwa kung'ang'ania watu mil. 1 wanaopenda sana kulialia na kulalamika kila siku!

Pinda alishaonya kuwa..kama hakuna Muungano Bara poa tu ni nchi kubwa..sema Visiwani watapata shida na taabu!
 
Kuna watu wamechoka na amani wanafanya kila hila kuhakikisha muungano unavunjika,nina hakika wakishapata wanachodai Zanzibar haitakalika.Dhambi ya kubaguana itaendelea zaidi wapemba nao watadai kutambuliwa na UN !!!!!!!!!!!.

Zanzibar wanapata fursa nyingi ndani ya muungano lakini bahati mbaya wengi wao bado hawajaona faida za muungano.Ulinzi na usalama wa Zanzibar unategemea sana Tanzania bara,siku Tanzania bara watakapo amua kujiondoa Zanzibar tutashuhudia waliokuwa vinara wa kulilia uhuru wa Zanzibar wakikimbila Tanzania bara kujificha.CUF na CCM Zanzibar wanakuwa na umoja wa kudai hata mambo ya kipuuzi kwasababu tu wako ndani ya muungano siku muungano ukitoweka hawatakuwa na umoja tunaoushuhudia leo.

Tanzania yafaa sana kusikiliza hizi kelele za wazanzibar na ikiwezekana tuachane nao lakini kwa masharti siku wakianza kuparurana hatutapokea wakimbizi kutoka Zanzibar.
 
..wa-Zenj wanajua wanachokitaka sasa sijui kwanini wanahangaika kwenda kote huko na kupoteza muda wa watu.

..kwanza walilalamikia mgao wa mapato ya muungano, akatafutwa msuluhishi wa kimataifa akawapa 3%. kiwango hicho hawajaridhika nacho na wanalalamika mpaka leo.

..tena likaja suala la mafuta. tumemtafuta Consultant wa kimataifa ktk suala hili na amewakilisha ripoti yake. again, Zanzibar wamekataa ushauri wa Consultant wanataka mafuta yawe wao wenyewe.

..suala kama Zanzibar ni dola na kama unaweza kufanya uhaini dhidi ya SMZ lilipelekwa mahakama kuu/rufaa na waZenj wakati CUF wakituhumiwa uhaini. sasa waliifurahia sana hukumu ile iliyoelekeza kwamba Zanzibar siyo dola kamili. leo watu haohao wanakwenda UN kutafuta hukumu kinyume na waliyoifurahia mwanzo.

..dawa ni kuuvunja Muunganu tu.
 
Ngongo,
Kwani njia walizotumia kudai wanachoona haki yao zina matatizo?
 
Ngongo,
Kwani njia walizotumia kudai wanachoona haki yao zina matatizo?

Mkuu Junius zina matatizo tena matatizo makubwa kuliko unavyofikiri.

Nchi tajiri za ulaya kama Germany,Uk,France na nk zinaungana pamoja na kuwa na uchumi mkubwa inashangaza bado sisi waafrika hatutaki kuungana pamoja na umaskini uliotamalaki katika kila nyanja.

Dunia ya leo nchi za kiafrika zinahitaji kuungana ili kuweza kukabilana na ushindani mkubwa ulioko kwenye soka la dunia[uchumi wa dunia] pia sauti moja katika siasa za dunia.Wanapotokea watu au kikundi cha watu wanahoji uhalali wa muungano au wakajivunia zaidi uzanzibar kuliko utanzania ujuwe ni ulevi wa wanasisa wa kupenda ukubwa pasipo kuangalia maslahi ya wananchi.

Wazanzibar wanapaswa kujipanga kimkakati jinsi watakavyonufaika na soko la pamoja la Afrka mashariki na si kuja na madai ya kipuuzi kila mara.Wazanzibar wanapaswa kuwa na umoja katika mambo ya maana.Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 Mheshimiwa Salim A Salim alishindwa katika uchaguzi wa urasi baada ya wazanzibar wenyewe kumkataa.Inasikitisha sana katika mambo ya maana wazanzibar hawana umoja lakini katika mambo ya hovyo wazanzibar wanakuwa na umoja.

Binafsi sipingi kasoro za muungano kujadiliwa na hatimaye kupatiwa ufumbuzi lakini nashangazwa na madai ya kipuuzi yanapopewa umuhimu mkubwa badala ya kupuuzwa.
 
Neither the ICJ nor UN has the right jurisdiction on this matter.Furthermore, the forwarding of this motion could be considered at least secessionist if not treasonous under existing Tanzanian law.
 
Ama kweli hata wakati wa mataifa mbalimbali kudai uhuru walianza hivi hivi. Hii picha inaonyesha kuonyesha kuwa kumbe Zanzibar ni koloni la Tanganyika.

Tatizo lililopo hapa ni kwamba Muungano ulipitishwa na vichwa viwili. JK Nyerere (Msomi mjanja) na AA Karume (Ngumbalu mnywa kahawa na kucheza bao). Sasa leo hii wazanzibar wameshituka na kuona kuwa mtu wao alizidiwa kete na Nyerere akaingia kichwa kichwa. Lakini cha muhimu zaidi kinachowatisha wazanzibar ni huu mtindo wa bara kuwaamulia nani awaongoze na kumfanya puppet wao. Na kikubwa zaidi wanachohofia wazanzibar ni nchi kushikwa na ma-Scavenger-mafisadi (ambao karibu wote wanatokea bara) wasiojali wananchi
 
Ngongo,
Kama muungano wenyewe si wa haki je?
Wenzetu wameungana baada ya kuweka taratibu za maana zinazoelekeza maeneo ya kushirikiana kwa maslahi ya uchumi na kwa mfano wa Jumuiya ya Ulaya, zipo nchi ambazo zimekuwa exempted kwa kutokubaliana na baadhi ya taratibu hizo ambazo zinatofautiana na maslahi yao ya kiuchumi yet wanabakia kuwa members katika tasnia nyengine,mfano mzuri Uingereza na sarafu ya Euro.
Kama muungano hau define maslahi ya kiuchumi ya pande zinazoungana, muungano huo unakuwa na matatizo tu.
 
Mwaka 2010 iwekwe kura ya maoni, ili muungano kuendelea inabidi upate simple majority pande zote.We have to take this back to the people.

Muungano ukiwa ratified na watu, kuanzia siku hiyo mtu atakayepiga kelele kuhusu muungano atakuwa anacheza na matakwa ya wananchi na serikali itakuwa na haki ya kumuita mhaini/ secessionist.

Muungano ukikataliwa na watu, uvunjwe.
 
Last edited:
Neither the ICJ nor UN has the right jurisdiction on this matter.Furthermore, the forwarding of this motion could be considered at least secessionist if not treasonous under existing Tanzanian law.
On what authority of your consideration the ICJ or UN can not entertain the matters?
What about if the situation is set to endangering the world peace and tranquility such that it will incur the UN to spend on peacekeeping forces missions and other resources in future to solve the isles problems which pose such dangers to the region. For the UN the memory is still fresh on plagued issues of Congo, Katanga, East Timor, Korea to mention few.
 
mwaka 2010 iwekwe kura ya maoni, ili muunano kuendelea inabidi upate simple majority pande zote.We have to take this back to the people.

Muungano ukiwa ratified na watu, kuanzia siku hiyo mtu atakayepiga kelele kuhusu muungano atakuwa anacheza na matakwa ya wananchi na serikali itakuwa na haki ya kumuita mhaini/ secessionist.

Muungano ukikataliwa na watu, uvunjwe.


That is the simple and obvious solution but kuna watu wakiona kuwa kura za maoni zita kua dhidi yao basi wata tafuta tu cha kusema ili kupinga huo utaratibu. Hili swala la Muungano lina tumiwa na wachache kwa manufaa yao na wengine wote wana fuata band wagon tu.
 
miaka yangu 35 ya kuishi hapa duniani sijaona faida ya huu muungano, au kitu kichochote mie Mdanganyika nilichofaidika nacho kutokana na huu muungano, kwa nini wazenji wasipewe uhuru wao? tuna wang'ang'ania wa nini? wapemba masikini kule kwao wako nyuma saaana kimaendeleo hizi zote ni athari za muungano huu uchwara ambao kila siku iendayo kwa muumba tunatishiwa eti ukivunjika utaleta mtafaruku, nani hasa ananufaika hapa?
 
miaka yangu 35 ya kuishi hapa duniani sijaona faida ya huu muungano, au kitu kichochote mie Mdanganyika nilichofaidika nacho kutokana na huu muungano, kwa nini wazenji wasipewe uhuru wao? tuna wang'ang'ania wa nini? wapemba masikini kule kwao wako nyuma saaana kimaendeleo hizi zote ni athari za muungano huu uchwara ambao kila siku iendayo kwa muumba tunatishiwa eti ukivunjika utaleta mtafaruku, nani hasa ananufaika hapa?

yup you are right. Waache kelele. Zanzibar ipige kura kama hawa utaki we do the needful, count our loses and move on.
 
Back
Top Bottom