JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,494
- 7,515
Wapumbavu nyie mnachojua ni kukanyaga sheria ili kuumiza watu. Nusrat Hanje mmesotesha jela kwa chuki zenu za kishamba kisha mnakuja kujifanya mnamzawadia ubunge wa viti maalum. Takataka nyie.Uwezo huna una bwabwaja tu kama hao mabwana zako. Hii nchi ni huru huyo Magoti yuko kwenye Mahakama kama watuhumiwa wengine kama atapatikana na hatia atafugwa tu hakuna jinsi. Waambie mabwana zako hii ni nchi huru haibabaishwi na kikaragoshi chochote kama walimtuma basi ameshanasa tayari.