UN haina vipengele katika " kanunu" zao za kutukamatia mafisadi ....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UN haina vipengele katika " kanunu" zao za kutukamatia mafisadi ....?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by TUJITEGEMEE, Apr 5, 2011.

 1. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  UN(Umoja wa mataifa) haina vipengele katika " kanuni" zao za kutukamatia mafisadi ....?Nimeuliza Swali hili baada ya kugundua kuwa UN iliweza kuanzisha mahakama maalum kwa ajili ya Sierra Leone kutokana na Almasi za damu (EconomicPolicyJournal.com: The 'Blood Diamond' Hoax, Liberia as a Parlor Game and You)
  WanaJF ambao mtakuwa mmepitia makabrasha ya UN, kuna vifungu mmevigudua ambavyo vinaweza kusaidia kutukamatia mafisadi "of highest rank" wa hapa nchini ambao inaonekana wako juu ya sheria zetu !?
   
Loading...