MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
Umoja wa Mataifa ina chombo kinachoitwa UN Board of Auditors, Professor Mussa Juma Assad ni mjumbe wa board hii. Wengine ambao ni wajumbe ni Rajiv Mehrishi (Comptroller na Auditor wa India), Jorge Bermúdez Soto (Comptroller wa Chile), Yupo Pia wa Wa Canada, na German.
Ni bodi inayokagua heseabu za UN pamoja na Miradi yake. Pia inatoa ushauri kwa nchi wanachama haswa kwenye masuala haya ya kikaguzi.
Kwa maana hiyo mtu anapomzungumzia Prof Assad anazungumzia mtu mwenye heshima kubwa sana Duniani katika taaluma yake. Tunapozungumzia Masuala ya Ripoti ya Tanzania na CAG mjue ni wengi wanaofuatilia hasa jumuiya za kimataifa.
World Bank, IMF wanafuatilia, nchi wahisani wanaotusaidia wanafuatilia. Si suala la kuzima moto kwa kumwalika Pierre Bungeni, ni suala la kujadili masuala mazito aliyoyabainisha CAG.
Tukishindwa kufanya hivyo basi tujitahidi sana kufanya kazi kwa bidii sana tujitegemee wenyewe. Hii issue si nyepesi kama tunavyotaka kuichukulia.
Pichani ni Prof Assad akiwa katika shughuli zake katika Board ya Ukaguzi ya UN. Huyu ndiye aliyehojiwa kwa kutumia kamusi ya TUKI.
Tuacheni utani katika mambo ya msingi
Ole Mushi
0712702602
Sent using Jamii Forums mobile app