jaffari yogo JF-Expert Member Apr 3, 2014 685 148 Nov 26, 2014 #1 Hii ni lugha gani na ina maana gani?
String Theory Senior Member Jan 23, 2014 155 61 Nov 26, 2014 #2 Nadhani ni kizulu. kuna wimbo una maneno kama hayo wa Brenda Fasi
M MZEE WA ALIZETI Member Apr 2, 2012 32 64 Nov 26, 2014 #3 Ni kikhosa na ina maana mtu ni mtu kwa sababu ya watu.
M Muwazi JF-Expert Member May 16, 2014 355 81 Nov 26, 2014 #4 Maana yake ni "Mtu ni Utu" Lakini sijui ni kabila gani maana niliiona kwenye tv usiku.
S SI unit JF-Expert Member Feb 24, 2012 1,953 766 Nov 26, 2014 #6 ngoja waje wale wanonena kwa lugha watutafsirie..kina RABASHAKA....