Umuhimu wa Wasanii Ziara za Magufuli Waonekana Dar

amilyroley

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
621
1,199
Leo magufuli ameangukia pua baada ya kukosa kabisa watu katika ziara zake jijini dar. Kigamboni amepata robot uwanja na temeke mwembeyanga kabisa ndio kapata aibu. Alifanya ziara bila wasanii. Wachambuzi wa siasa za CCM wamesema umuhimu wa wasanii dar ni muhimu mikutano ya CCM. Muda huu mabasi ya UDA yamesambazwa jiji lote kusomba watu na kuhakikisha wanafuta aibu ya kigamboni na mwembeyanga katika mkutano wa jioni pale Biafra kinondoni. Mdau aliyepo tegeta anasema kuna mabasi 15 ya UDA pale tegeta kibaoni yanapakia watu.
 
Watu wa Dar wamemchoka Magufuli, hana jipya tena. Angerudi zake Kanda ya Ziwa na kuendelea na Pushup zake.
 
Watu wa Dar wamemchoka Magufuli, hana jipya tena. Angerudi zake Kanda ya Ziwa na kuendelea na Pushup zake.
 
Sio Dar tu... kila aendako watu wanalipwa mapesa, usafiri, kanga, kofia, t-shirt na kutengeneza mafuriko feki... jpili ndio mwisho wa hawa WAKOLONI WEUSI...!!!

CCM out...!!!😨😨😨
 
Sisi tunawaambia kuwa bila kusafirisha watu ktk malori na uda na kutumia wasanii wahudhuriaji mikutano yao ni wachache sana lkn wao wanabisha. Huo ndio uhalisia.
 
Picha za eneo mojawapo ya hayo maeneo uliyotaja, tafadhali, vinginevyo naaminje kuwa sio U-Nape ?
 
Kuna mtu atakataliwa kwa mara ya 3 siku ya Jpili, alikataliwa 1995, akakataliwa tena July 2005 na tena atakataliwa jpil ya tarehe 25 October, 2015
 
Leo magufuli ameangukia pua baada ya kukosa kabisa watu katika ziara zake jijini dar. Kigamboni amepata robot uwanja na temeke mwembeyanga kabisa ndio kapata aibu. Alifanya ziara bila wasanii. Wachambuzi wa siasa za CCM wamesema umuhimu wa wasanii dar ni muhimu mikutano ya CCM. Muda huu mabasi ya UDA yamesambazwa jiji lote kusomba watu na kuhakikisha wanafuta aibu ya kigamboni na mwembeyanga katika mkutano wa jioni pale Biafra kinondoni. Mdau aliyepo tegeta anasema kuna mabasi 15 ya UDA pale tegeta kibaoni yanapakia watu.

Naona alikuwa anajaribu kupima kama ni kweli watu wanmfuata yeye au diamond kajionea mwenyewe hata biafra napo doro.
 
Mwembeyanga Hapo!
 
Attachments

  • 1445428412942.jpg
    1445428412942.jpg
    50.6 KB · Views: 851
  • 1445428441396.jpg
    1445428441396.jpg
    45.2 KB · Views: 827
  • 1445428458548.jpg
    1445428458548.jpg
    50.4 KB · Views: 799
  • 1445428476122.jpg
    1445428476122.jpg
    52.7 KB · Views: 790
  • 1445428503185.jpg
    1445428503185.jpg
    46.9 KB · Views: 711
  • 1445428549583.jpg
    1445428549583.jpg
    38.6 KB · Views: 730
Back
Top Bottom