Umuhimu wa wajasiriamali katika jamii

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Kutokana na tatizo la ajira katika zama hizi za sayansi na teknolojia watu wengi ktk nchi zinazoendelea wamelazimika kufanyabiashara ndogondogo ili kupambana na hali ngumu ya maisha inayotokana na umasikini ulipo ktk nchi.
 
vp wewe bado?unashasurije?

jambo la msingi mi naona vijana tuache kutoa sababu mbalimbali tufanye kazi kwa nguvu zote mana hatua inanza hapo ulipo na kesho inasonga mbele ujue mtaji ni kiasi chochote itategemea ubunifu wako lakin leo vijana tegemeo la kesho tunachagua kazi au mwisho wa siku tunaishia vijiwen kupiga story je mandalizi ya kesho nani akuandalie kama sio wewe
 
Mbona hujaongea chochote kuhusiana na ujasiriamali hapo? Sioni uhusiano wa moja kwa moja katika ya maandiko yako na title ya hii thread.
 
Mbona hujaongea chochote kuhusiana na ujasiriamali hapo? Sioni uhusiano wa moja kwa moja katika ya maandiko yako na title ya hii thread.
yaani hapo umeongea ndugu yangu, halafu watanzania wengine wanapoona watu wanajituma na wanafanya kazi wao ni pararira tu na uchochezi wa mambo badala wajifunze na wao wafanye vipi ili watoke wamekalia unafiki tu kama jamaa mmoja ipo siku nitamuweka wazi aache majungu anatakiwa afanye kazi na awe na wivu wa kimaendeleo sio unafiki
 
Back
Top Bottom