Umuhimu wa upinzani nchini ni mkubwa sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umuhimu wa upinzani nchini ni mkubwa sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BCR, Jun 15, 2011.

 1. BCR

  BCR Senior Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maoni waliyoyatoa yakiwasilishwa na Mhe.Zito, kama serikali ikiyaweka kwenye utendaji hatua litapiga hatua kimaendeleo.
  serikali isiangalie mawazo ya upinzani kama sehemu ya upinzani dhidi yao bali mchango kwa taifa lao.
  Mhe. Zito nimemkubali, kama akitulia kisiasa, atafika mbali sana.
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,002
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Zitto ni mzuri,ila ni kigeugeu.Msimamo wake una mushkheri.
   
 3. m

  menny terry Senior Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hakuna cha jepesi wala zitto. Huyo mnafki 2 anajaribu kurudisha heshima yake aliyojipotezea.Ni rafiki mkubwa wa rostam.
   
 4. delabuta

  delabuta Senior Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani akiwa upinzani ndio awe adui wa kila mtu? acha ujinga bana
   
 5. j

  jorojo JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2014
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 1,646
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wafuasi wa cmd ndo vigeugeu Jana mmemshabikia sana zitto Leo hafai keshokutwa humuhumu mtaanza kumtukana kiongozi wenu mwengine
   
 6. m

  mwanamakambako JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2014
  Joined: Jan 3, 2014
  Messages: 783
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bado unamuamini zitto mpaka leo, hana maana yoyote, kama angekuwa mwema na mzalendo asingelisaliti taifa, hana tofauti na Hamadi Rashid, Mrema, wote ni vibaraka wa ccm, akae kushoto aache unafiki.
   
Loading...