Nimeona niiweke hii habari iwe ya kweli au uongo ambayo nimeisikia katika Video watsapp ya jamaa ambayo imenisikitisha sana. Interview iliyokua ikifanywa na SadickTV (Video) kumuuliza mfanyakazi au aliyekuwa akifanya kazi chumba cha kuhifadhia maiti Mawenzi.
Kwa kweli imenisikitisha kuona jinsi alivyokuwa akijiona shujaa kuhadithia jinsi alivyokuwa akiwahadaa watu kuwaonyesha kwa makusudi maiti sio zao, ili waingie woga na waziache maiti, huku akielewa maiti inayoulizwa ipo wapi ili azikate na kuuza sehemu zao za siri aziuze kwa wachawi na waganga wa kienyeji kwa Shs 30,000/-.
Anaelezea katika hiyo video pia alivyokuwa akizini na maiti zinazoletwa na kuhifadhiwa.Nina imani hiyo Video kwa sasa itakuwa imesambaa nchini.