Umuhimu wa kuwa na taifa huru la Tanganyika waanza kujitokeza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umuhimu wa kuwa na taifa huru la Tanganyika waanza kujitokeza!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rich Dad, Aug 25, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakuna aliyewaingilia wazanzibari wakati wakifanya mabadiliko ya katiba yao! Iweje leo kikundi cha wanasiasa wachache watuletee ubabe sisi wananchi wa Tanzania bara(Tanganyika) ati lazima wazanzibari washiriki katika mabadiliko ya katiba yetu bila mipaka?

  Kwa nini wasishirikishwe kwa mambo ya Muungano tu? Na hata kabla ya hapo kwanini wananchi tusipewe nafasi ya kuamua endapo tunautaka Muungano na uwe wa aina gani?

  JK na timu yako naona sasa upofu na ukiziwi uwewaingia, hamuoni wala kusikia yanayotokea nje ya mipaka ya Nchi yetu. Juweni ya kuwa hamna nguvu ya kushinda nguvu tuliyonayo sisi wananchi.
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Rahisi. Katiba iliyopo ni ya JMT, sio ya Tanganyika, na kwa katiba iliyopo wazenj ni sehemu yake, wana haki. Cha muhimu kwanza kuvunja Muungano au kubadili kabisa iwe na mwelekeo wa utanganyika kuliko uJMT.
   
Loading...