Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,653
Kufikiri kwamba watoto wetu watakuwa wenye tabia njema wakati sisi hatuna tabia njema ni kama kuwa na matumaini kwamba kunguru atazaa kuku siku moja. Tutawafundishaje tabia njema wakati sisi hatuna? Tunapaswa kwanza kutengeneza tabia zetu.
Jamii hupotoka pale wazazi wanaposhindwa kutimiza wajibu wao. Na mataifa huangamia watu wanapokuwa na tabia mbovu.
kudhani kwamba watoto watakuwa na tabia njema wakati sisi hatuna ni mawazo yasiyo na hekima.
Kumbukeni sisi ndio tunaotayarisha kizazi kijacho kushika hatamu ya nchi hii. Swali tunawatayarishaje? Na tabia zinacheza nafasi kubwa sana katika maendeleo ya nchi. Ingawaje tunapuuzia.
Je sio kweli good behaviours will always make nations prospered?
Binadamu sio sawa sawa na miti ambayo inajikulia bila maelekezo. Order ya nchi hutegemea tabia za watu wake hasa vijana na jinsi gani wamelelewa na kuwa managed katika ngazi ya familia. Nidhamu na utii huanzia huko. Police can not do anything kama huko pakifeli.
Tutawafundishaje tabia njema wakati sisi hatuna? Tuwe mfano kwanza.
Watoto wanajifunza zaidi kwa kuona sio kwa maneno ambayo yanapishana na matendo. Then tukiwalea watoto wetu vyema tutakuwa tumetoa mchango mkubwa sana kwa taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app