Jinsi ya kupata cheti cha ubora cha ISO kwa kampuni yako

PANG-ISO

New Member
Apr 9, 2020
3
5
Wadau hamjambo? Pamoja na changamoto ya #Corona, maisha mengine ni lazima yaendelee.

Lengo la hii post ni kutaka tupeane ujuzi na kukumbushana namna ya kupata cheti cha Ubora wa bidhaa na huduma cha ISO.

ISO ni nini?

ISO ni shirika la Viwango la Kimataifa (International Organization for Standardization). Ni shirika la Kimataifa lisilo la kiserekali. Kazi yake kubwa ni kuandaa, kuthibitisha na kupublish viwango vya ubora wa bidhaa mbali mbali duniani. Lilianzishwa mwaka 1947 likiwa na wafanyakazi 4 na Makao makuu yapo Geneva, Switzerland.

Kazi ya shirika ni nini?

Kazi ya ni kuandaa, kuthibitisha na kupublish viwango vya ubora wa bidhaa mbali mbali duniani. Sote tunajua kuwa ubora wa bidhaa na huduma mbalimbali unapimwa katika viwango mbalimbali ilikulinda afya na usalama wa watumiaji wa bidhaa na huduma hizo.

Kuna Faida gani kupata cheti cha ISO?

  • Kuthibitisha ubora wa bidhaa na huduma inayotolewa
  • Kuboresha na kudhibiti mifumo ya utendaji kazi
  • Kuchochea maboresho na mabadiliko chanya katika kampuni
  • Kuchochea uthibiti na usajili katika mamlaka za ndani ya nchi Mf. TBS
  • Hutoa msisitizo kwa uwekaji wa kumbukumbu mfano. Records, Reports, etc.
  • Husaidia kuongeza ufanisi na kupunguza uzalishaji wa bidhaa sisizo kidhi viwango
  • Husaidia makampuni kupenya katika masoko mapya
  • Husaidia kuweka usawa katika masoko hasa kwa bidhaa zitokazo katika nchi zinazoendelea
  • Husaidia kufanya biashara kimataifa maana huongeza imani kwa wateja.
  • Husaidia uboreshaji wa viwango vya ubora
    Ø Ukaguzi wa ndani (Internal Audit
    Ø Ukaguzi wa nje (External Audits
    Ø Vikao vya tathmini katika ngazi mbalimbali za uongozi (Management Meetings)
  • Lengo kuu ni Kuridhika kwa Mteja
  • Biashara na huduma endelevu

    Hatua zipi za kufuata ilikupata cheti?
  • Chagua aina ya kiwango (Standard) unachotaka mf. Ubora ISO 9001, Mazingira ISO `14001, Chakula ISO 22000 nk
  • Tafuta Mtaalam atakaye fanya kazi ya maamndalizi, Mfano Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi
  • Kufanya ukaguzi wa awali (Gap Assessment Audit) kujua hali ya awali ya kampuni kabla ya kuanza utekelezaji
  • Kuweka Mpango kazi
  • Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi ngazi zote
  • Kuweka kumbukumbu za maandishi kwa michakato yote (Process Documentation)
  • Kuwasilisha kwa uongozi wa juu kuona namna uandishi ulivyofanyika
  • Kuchagua na kutoa mafunzo kwa wakaguzi wa ndani (Internal Auditors)
  • Kupanga na kufanya ukaguzi wa ndani na kuandika report
  • Kuwasilisha report kwa uongozi wa juu
  • Kufanyika kwa kikao cha uongozi kuthibitisha kazi iliyofanyika (Management Review Meeting)
  • Kuomba kufanyika kwa Ukaguzi wa nje (External Audit)
  • Mkaguzi wa nje atatoa report ya ukaguzi na mapungufu kama yapo
  • Kampuni itapewa muda wa kurekebisha mapungufu na kuwasilisha vielelezo vya kuthibitisha hatua zilizochukuliwa zina kidhi mahitaji
  • Kampuni itapewa hati na reporti ya kuthibitisha kuwa inastahili kupewa cheti husika
  • Kampuni itapewa cheti cha cha ISO cha ubora wa bidhaa na huduma

    Cheti kinadumu kwa muda gani?
  • Cheti kinadumu kwa miaka mitatu (3) na kutakuwa na ukaguzi wa ndani kila mwaka na ukaguzi wa nje kika mwaka

    Gharama zipoje?
  • Gharama zimegawanyika makundi mawili: Consultancy na Certification
  • Gharama hutegemea ukubwa wa kampuni
  • Idadi ya bidhaa na huduma zinazotolewa na kampuni husika
  • Risks au majanga mbali mbali yanayoweza kujitokeza

    Kwa ushauri na msaada zaidi, wasiliana nasi
  • PANGOLIN QUALITY CONSULTING. COMPANY LTD.

  • MEANMYKE HOUSE,
    PLOT No: 380, BLOCK A, HOUSE No: 159,
    P.O. Box 55091 Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania.
    Mob: +255 769167182, +255679181484, +255685879800
    Web: www.pangolin.co.tz
    Email: pangolinquality@gmail.com, md@pangolin.co.tz
    WEB: www.pangolin.co.tz

    LOGO.png
 
Wadau hamjambo? Pamoja na changamoto ya #Corona, maisha mengine ni lazima yaendelee.

Lengo la hii post ni kutaka tupeane ujuzi na kukumbushana namna ya kupata cheti cha Ubora wa bidhaa na huduma cha ISO.

ISO ni nini?

ISO ni shirika la Viwango la Kimataifa (International Organization for Standardization). Ni shirika la Kimataifa lisilo la kiserekali. Kazi yake kubwa ni kuandaa, kuthibitisha na kupublish viwango vya ubora wa bidhaa mbali mbali duniani. Lilianzishwa mwaka 1947 likiwa na wafanyakazi 4 na Makao makuu yapo Geneva, Switzerland.

Kazi ya shirika ni nini?

Kazi ya shirika hili ni kuandaa, kuthibitisha na kupublish viwango vya ubora wa bidhaa mbali mbali duniani. Sote tunajua kuwa ubora wa bidhaa na huduma mbalimbali unapimwa katika viwango mbalimbali ilikulinda afya na usalama wa watumiaji wa bidhaa na huduma hizo.

Kuna Faida gani kupata cheti cha ISO?
  • Kuthibitisha ubora wa bidhaa na huduma inayotolewa
  • Kuboresha na kudhibiti mifumo ya utendaji kazi
  • Kuchochea maboresho na mabadiliko chanya katika kampuni
  • Kuchochea uthibiti na usajili katika mamlaka za ndani ya nchi Mf. TBS
  • Hutoa msisitizo kwa uwekaji wa kumbukumbu mfano. Records, Reports, etc.
  • Husaidia kuongeza ufanisi na kupunguza uzalishaji wa bidhaa sisizo kidhi viwango
  • Husaidia makampuni kupenya katika masoko mapya
  • Husaidia kuweka usawa katika masoko hasa kwa bidhaa zitokazo katika nchi zinazoendelea
  • Husaidia kufanya biashara kimataifa maana huongeza imani kwa wateja.
  • Husaidia uboreshaji wa viwango vya ubora
    Ø Ukaguzi wa ndani (Internal Audit
    Ø Ukaguzi wa nje (External Audits
    Ø Vikao vya tathmini katika ngazi mbalimbali za uongozi (Management Meetings)
  • Lengo kuu ni Kuridhika kwa Mteja
  • Biashara na huduma endelevu

    Hatua zipi za kufuata ilikupata cheti?
  • Chagua aina ya kiwango (Standard) unachotaka mf. Ubora ISO 9001, Mazingira ISO `14001, Chakula ISO 22000 nk
  • Tafuta Mtaalam atakaye fanya kazi ya maamndalizi, Mfano Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi
  • Kufanya ukaguzi wa awali (Gap Assessment Audit) kujua hali ya awali ya kampuni kabla ya kuanza utekelezaji
  • Kuweka Mpango kazi
  • Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi ngazi zote
  • Kuweka kumbukumbu za maandishi kwa michakato yote (Process Documentation)
  • Kuwasilisha kwa uongozi wa juu kuona namna uandishi ulivyofanyika
  • Kuchagua na kutoa mafunzo kwa wakaguzi wa ndani (Internal Auditors)
  • Kupanga na kufanya ukaguzi wa ndani na kuandika report
  • Kuwasilisha report kwa uongozi wa juu
  • Kufanyika kwa kikao cha uongozi kuthibitisha kazi iliyofanyika (Management Review Meeting)
  • Kuomba kufanyika kwa Ukaguzi wa nje (External Audit)
  • Mkaguzi wa nje atatoa report ya ukaguzi na mapungufu kama yapo
  • Kampuni itapewa muda wa kurekebisha mapungufu na kuwasilisha vielelezo vya kuthibitisha hatua zilizochukuliwa zina kidhi mahitaji
  • Kampuni itapewa hati na reporti ya kuthibitisha kuwa inastahili kupewa cheti husika
  • Kampuni itapewa cheti cha cha ISO cha ubora wa bidhaa na huduma

    Cheti kinadumu kwa muda gani?
  • Cheti kinadumu kwa miaka mitatu (3) na kutakuwa na ukaguzi wa ndani kila mwaka na ukaguzi wa nje kika mwaka

    Gharama zipoje?
  • Gharama zimegawanyika makundi mawili: Consultancy na Certification
  • Gharama hutegemea ukubwa wa kampuni
  • Idadi ya bidhaa na huduma zinazotolewa na kampuni husika
  • Risks au majanga mbali mbali yanayoweza kujitokeza

    Kwa ushauri na msaada zaidi, wasiliana nasi
  • PANGOLIN QUALITY CONSULTING. COMPANY LTD.
    MEANMYKE HOUSE,
    PLOT No: 380, BLOCK A, HOUSE No: 159,
    P.O. Box 55091 Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania.
    Mob: +255 769167182, +255679181484, +255685879800
 
Attachments

  • 2020-PANGOLIN COMPANY PROFILE. (1).pdf
    11.5 MB · Views: 11
Back
Top Bottom