Umuhimu wa kumuomba Mungu kabla ya kuanza mahusiano ya kimapenzi au urafiki

nyanyantole

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
644
1,006
Habari

Ni hakika ya kwamba kila Mtu anatambua kwamba kila kitu katika Maisha Yetu ni Mungu kwanza.Kumbe hata katika Mahusiano ambayo badae huzaa ndoa ni Matamanio ya Wanawake wengi. Nasema wanawake ama wasichana sababu wao hupenda kwa kumaanisha tofauti kidogo na wanaume/wavulana ambao asilimia kubwa huwa ni tamaa kwanza then upendo baadae japo sio wote.

Unapokuwa shule, yaani Sekondari na chuo ni kipindi ambacho unapaswa kumuomba Mungu kwa ajiri ya Mke au Mume wako. Katika kuomba kwako ni dhahiri Mungu anaona umemuheshimu. Hivyo mbali na mengine hukukinga na waharibifu kwa maana wachezeaji. Yeye huwafukuzia mbali bila wewe kujua. Na utapata nguvu ya ajabu ya kujitambua. Uwe wa kiume au kike.

Na hata Mungu anaweza kukuonyesha Mume au Mke wako kabla hata hujakutana nae. Maana Yeye ni Rafiki. Hii huenda sambamba na Yeye kukuchagulia Marafiki wazuri wa wewe kufanana nao. Hii huja automatic

Tunajisahau tunamshirikisha Mungu atupe mke au mume wakati hapo mwanzo hatukumshirikisha ya kwamba ulichagua njia yako basi nae akakuacha. Hii husababisha unakuwa na wapenzi ambao watakuumiza kila siku badae unajikuta unasema GOD WHY ME, GOD WHEN. Mda huo hauna Mvuto tena. Umezalishwa umeachwa uliye mpenda siye ALIYEKUOA/ULIYEMUOA ila umezalisha nje.

Ujana ni Maji ya Moto ukikosea katika ujana basi umeharibu hata uzee wako. Makosa mengi katika mahusiano ni sababu tumetumia sana akili zetu kwa Muda mrefu na kuwatumainia wale tunaodhani tunawapenda kumbe ni machaguo Yetu lakini sio Mungu katupa. Ndio maana kuna kusalitiana, kuuana na kuishi maisha ya uongo katika Ndoa ama mahusiano.

-ITAKUSAIDIA KULINDA KUTUNZA USICHANA WAKO MPAKA MDA WA NDOA
-ITASAIDIA KUZAA UKIWA NDANI YA NDOA
-ITASAIDIA WEWE KUOLEWA MAPEMA UKIWA TAYARI
-ITASAIDIA KUOLEWA NA MUME SAHIHI
-ITASAIDIA BARAKA KATIKA NDOA YAKO SBB HUJABEBA ROHO ZINGINE ZA WATU WENGINE KTK UJANA WAKO
  • UTAHESHIMIKA KWA MUME WAKO
  • NDOA YAKO ITALINDWA NA MUNGU HAPA HAKUNA HOFU ZA UCHEPUKAJI
  • WATOTO WAKO HAWATAKUTESA
  • UTAWAPA HESHIMA WAZAZI WAKO
-UTAKUFA KATIKA UMRI WAKO TIMILIFU MIAKA YAKO HAITALIWA NA NZIGE NA MADUMADU
- NI SABABU UMEMUHESHIMU MUNGU KATIKA MAHUSIANO YAKO.

Mke mwema anatoka kwa Mungu, na rafiki mwema Pia. Tusiache kuomba kwa ajiri ya yale tunayoyatarajia maana kesho Yetu ni nzuri zaidi. Aombaye hupewa.
 
Habari

Ni hakika ya kwamba kila Mtu anatambua kwamba kila kitu katika Maisha Yetu ni Mungu kwanza.Kumbe hata katika Mahusiano ambayo badae huzaa ndoa ni Matamanio ya Wanawake wengi. Nasema wanawake ama wasichana sababu
Laiti sisi wanadamu tungekua tuna ethics za kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuvuna chochote kile kutokana na our own decisions and take them as men bila kumsungizia au kuomba msaada kwa mtu ambae hakuna aliewahi muona au kua na uhakika ana exist tungefika mbali sana

Mwanadamu ni very desperate,yaani anafanya vitu anamsingizia mtu ambae hayupo kabisa

Kuoa au kuolewa ni another sector inayojikita kwenye huu upumbavu

As a human being do what is right,then live with the consequences bila kulia lia......ukiolewa au usipoolewa is nobody's fault...

I know the desperation,which takes out all of our leverages,sanity,etc....hatuna pakushika na ku-make sense of our lives,then tunakimbilia illusions we wish are true to suit our matamanio,ambapo at the end of the day still tupo kwenye fantansy island lying to ourselves
 
Ndio sbb Yupo
Yupo umemuonea wapi ndugu?

Huenda kwa macho si rahisi kumuona,jee effect yake umeionea wapi ambapo ni measurable?

You must be in a fantansy island!

Hivi kwanini wanadamu hatupendi ku-face reality?I know reality inaogofya na inaumiza,ila we have to face it,hii mambo ya ku-create gods and trying to relate to in our own illusions to make ourselves happy ni tunajidanganya!
 
Jiandae kufa umebakiza siku chache....nguvu ya mungu imenituma nikuambie
Nashukuru kwa kuniambia ila maisha yangu hayaamuliwi na mungu. Yanaamuliwa na Yawhe Bwana wa Mabwana, ungu wa Abrahamu, Isaac na Jacon, nikiitwa nitaitika. Kwanza Sayuni hakuna majonzi, simanzi, shida, hofu, kuangaika, kuchoka, kuwaza, kuumwa, kukosa hela nk. Nitafurahi siku moja nikiwa karamuni na Yesu na Mungu tukifurahi na kucheza. .
 
😁😁😁 wewe jamaa unamfahamu yesse vedasto
 
Nashukuru kwa kuniambia ila maisha yangu hayaamuliwi na mungu. Yanaamuliwa na Yawhe Bwana wa Mabwana, ungu wa Abrahamu, Isaac na Jacon, nikiitwa nitaitika. Kwanza Sayuni hakuna majonzi, simanzi, shida, hofu, kuangaika, kuchoka, kuwaza, kuumwa, kukosa hela nk. Nitafurahi siku moja nikiwa karamuni na Yesu na Mungu tukifurahi na kucheza. .
I see African niggas mnataja majina ya Jews as if mnawafahamu sana?

Black Africans tangu lini mnawajua sana Jews?

You share nothing between you two!
 
Jiandae kufa umebakiza siku chache....nguvu ya mungu imenituma nikuambie
Mungu kakutuma uwaambie wanadamu wenzako watakufa?

Mbona huyo Mungu mjinga sana?Hajui na wewe ni lazima utakufa?

Maana bioloy inasema ni lazima kila life form ife,we already know that,and still anakutuma uje kutuambia kitu tunachokijua tayari,hana muda wa kufanya mambo ya maana zaidi?
 
I see African niggas mnataja majina ya Jews as if mnawafahamu sana?

Black Africans tangu lini mnawajua sana Jews?

You share nothing between you two!
I am a Jew, my name is Gilbert. Wewe Wyatt Mathewson au umesahau Mathewson ni mtoto wa kiyaudi😃Nambie myahudi mwenzangu, uko poa?
 
I am a Jew, my name is Gilbert. Wewe Wyatt Mathewson au umesahau Mathewson ni mtoto wa kiyaudi😃Nambie myahudi mwenzangu, uko poa?
You are lying to yourself

Wewe ni black Bantu African...huna any DNA connection with Jews!

Nachoona hapa ni self hate uliyonayo,unajichukia ulivyo mpaka ukaamua kuukana uhalisia wako na kuukumbatia Uyahudi ambao ni watu tofauti na wewe kabisa genetically!

Why you hate youself kiasi hiki?

Kuna tatizo pahala,si bure hii
 
Nashukuru kwa kuniambia ila maisha yangu hayaamuliwi na mungu. Yanaamuliwa na Yawhe Bwana wa Mabwana, ungu wa Abrahamu, Isaac na Jacon, nikiitwa nitaitika. Kwanza Sayuni hakuna majonzi, simanzi, shida, hofu, kuangaika, kuchoka, kuwaza, kuumwa, kukosa hela nk. Nitafurahi siku moja nikiwa karamuni na Yesu na Mungu tukifurahi na kucheza. .
Kwahiyo you are not in charge of your own life kuna kiumbe kimekushikia?

Kama ni hivyo why are you here?
 
Yupo umemuonea wapi ndugu?

Huenda kwa macho si rahisi kumuona,jee effect yake umeionea wapi ambapo ni measurable?

You must be in a fantansy island!

Hivi kwanini wanadamu hatupendi ku-face reality?I know reality inaogofya na inaumiza,ila we have to face it,hii mambo ya ku-create gods and trying to relate to in our own illusions to make ourselves happy ni tunajidanganya!

Ndugu ni Mungu hajapenda umjue hivo sio issue yangu kabisa hiyo ni yake. Mimi unanionea tu kwa maswali ambayo ni mpagani mwenzio tu atakuelewa
 
Ndugu ni Mungu hajapenda umjue hivo sio issue yangu kabisa hiyo ni yake. Mimi unanionea tu kwa maswali ambayo ni mpagani mwenzio tu atakuelewa
Sasa ndugu mimi nakujua wewe maana upo hapa unaandika

Maswali nakuuliza wewe maana ndio upo hapa nakujua

Yeye simjui na wala sijui yupo wapi na hapa hayupo

Wewe unajidai hua unaongea nae na hua anakutuma kupitisha judgements to other human beings

Ndio nakuuliza,ulikutana nae wapi na hayo mamlaka kakupaje?Maana ni lazima utupe ushahidi kakupa na wala sio umeamka na kujiotea tu ukaja hapa unataka kutupitishia authoritities zako ulizobuni kichwani mwako kwa kudai umezipewa na huyo asiyepo popote.

Kama unashindwa kuishi hapa duniani na kuelewana na wote,wasio wapagani na wapagani kwa usahihi basi utaishi kwa taabu sana

Unashindwaje kuishi nao wakati unajiekti una upeo maalumu ulipewa na some kind of kiumbe kinaitwa Mungu?

Ukishindwa kuelewana na wanadamu wenzio basi inaelekea wewe hufai na ni threat to other human beings maana ni hostile kwao
 
Back
Top Bottom