Umuhimu wa kufanya kanda nyingine ziwe maalumu kielimu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umuhimu wa kufanya kanda nyingine ziwe maalumu kielimu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kiwatengu, Apr 6, 2012.

 1. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,417
  Likes Received: 3,358
  Trophy Points: 280
  Hello watanzania wenzangu, mimi nina mapendekezo ambayo ningependa wadau wa elimu tujaribu kuyaangalia na kuya pa umuhimu...kutokana na swala la elimu kuwa muhimu kwa vijana wa nchi yetu nina pendekeza kanda nyingine zitengwe ziwe kanda maalumu kielimu ili kuwakomboa na adui ujinga ambaye bado hajafutika kwa wengi sasa..ni ukweli kwamba bado kuna maeneo ambayo elimu bado ni duni kutokana na mwitkio kidogo sana wa wananchi na wanafunzi kwa ujumla..kuna maeneo ambayo bado wanaipa elimu kipaumbele cha mwisho, hii inatokana na shule kutokuwa na walimu na miundo mbinu muhimu inayohitajika kwa ajil ya elimu bora..Mfano Kanda ya Kusini inayojumuisha mikoa ya Lindi na Mtwara inahitaji kipaumbele tofauti na kanda ya Kaskazini ambao walau kielimu wamepiga hatua..na kanda nyingine ambazo bado ni duni zipewe kipaumbele ili kuleta usawa. Huko wapewe walimu zaidi, miundo mbinu kama Maabara na Maktaba zijengwe zaidi..Kusini jamani They need help.
   
 2. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,417
  Likes Received: 3,358
  Trophy Points: 280
  Kutokana na kugundulika kwa gesi huko kusini! ni vizuri fursa yakuwaendeleza kiundani iangaliwe upya sasa! mwaka jana nilifanikiwa kuitembelea mikoa ya lindi na mtwara na kujionea tofauti kidogo na sehemu nyingine! jamani elimu ni ukombozi!!
   
 3. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,417
  Likes Received: 3,358
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa hapa ni serikali ya ccm kushindwa kuweka sera nzuri katika elimu!
  hili halina ubishi, wanaogopa kuwaelimisha watu ili waendelee kuwaibia vizuri.
  Raia washaelewa!
  Ni dhahiri CCM wameshindwa kabisa kupambana na ujinga, maradhi na umaskini!
   
 4. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,417
  Likes Received: 3,358
  Trophy Points: 280
  umenishtua kidogo ulivyoitaja mtwara na lindi..vipi lakini na kanda nyingine? mfano, zenye mikoa ya dodoma, singida, manyara, rukwa, ruvuma na hata kigoma? je, hao elimu yao iko vipi? je, wanamaabara na maktaba + walimu wakutosha? hapa tatizo n ccm!
   
 5. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,417
  Likes Received: 3,358
  Trophy Points: 280
  Tuna mengi yakuikataa ccm. huko ambako hamna elimu, ndyo kunamatatizo ya maji, barabara n.k! let us reply by bit them throug our votes 2015..wakituibia let us use our arrows, spears, stones, guns, bombs to bit them! for emancipation of our nation tz.
   
 6. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,417
  Likes Received: 3,358
  Trophy Points: 280
   
 7. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,417
  Likes Received: 3,358
  Trophy Points: 280
   
 8. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,417
  Likes Received: 3,358
  Trophy Points: 280
   
Loading...