Umuhimu wa Kikwete kwenye Historia ya Tanzania baada ya Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umuhimu wa Kikwete kwenye Historia ya Tanzania baada ya Nyerere

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kichuguu, Sep 30, 2010.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Nyerere anakumbukwa kwa mengi katika historia ya Tanzania, lakini kubwa linalomtofautisha na maraisi wenzie ni kuwa aliondoka madarakani wakati angeliweza kuendelea, ukimwacha Abdul Wakil wa Zanzibar. Baada ya hapo maraisi wote waliomfuatia Nyerere wamekuwa wanaondoka madarakani kwa mujibu wa katiba baada ya kutawala kwa miaka kumi, na kuna waliojaribu kuongezea muda huo.

  Nadhani Kikwete anaweza kuja kukumbukwa sana kama rais wa kwanza Tanzania kuachia madaraka hayo kwa hiari baada ya kutopata kura za kutosha; yaani hakupenda kutumia madaraka hayo vibaya kujiongezea muda wa kutawala kama alivyofanya Kibaki na Mugabe.
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Gud one!
   
 3. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndoto za Ali Nacha. :becky: :becky: :becky:

  Mara nyingi ndoto kama hizi husababishwa na kuvimbiwa na ugali wa muhogo kwa matembele. :becky: :becky: :becky:
   
 4. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo unamaanisha kikwete hawezi kuachia madaraka kwa hiari asipopata kura za kutosha? basi kama hataachia kwa hiari ataachishwa kwa nguvu
   
 5. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Napenda watu wanao waza from angle tofauti.......Inaweza kutokea
   
 6. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si mpaka hizo kura zisitoshe? :tonguez:
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  atakumbukwa kama rais wa awamu ya nne basi!!

  AWAMU YA KUZINDUA MIRADI YA AWAMU YA TATU..!
   
 8. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kudadeki, Mkuu ushabiki wako usio na reasoning unafurahisha! Bila shaka unajua mbinu mtakazotumia ili kura za Dk. Slaa zisitoshe kwa sababu mna record ya kufanya hivyo. Pia hata kama Dk. Slaa atampita kwa kura nyingi mgombea wenu kwenye baadhi ya maeneo bado hamtaridhika mtataka mzipunguze! Halafu mnatamba kwamba mmeimarisha/mnaimarisha demokrasia nchini. Shame on you! Kitu kinachonifurahisha katika uchaguzi huu ni kuona idadi imeongezeka ya wananchi wenye uelewa wa kisiasa.
   
Loading...