Ukikutana na dangote utaongea naye kifipa????Badala ya kupigania lugha ya Kabila lenu iwe rasmi Tanzania,we bado una akili za kitumwa mpaka Leo,jikomboe hata kifkra tu
Kwani hatuelewani?Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu kama lugha rasmi ya mawasiliano nchini Tanzania.
Kwa sasa tujikite kwenye kuboresha UFUNDISHAJI wa lugha ya kiingereza maana tuliopita kwenye mfumo wa shule/vyuo vya umma humu nchini tunaaibika kwenye interview/makazini.
Kiarabu ni aibu kwa taifa letuNi aibu kwa Taifa letu!
Utaishia kuskia shukrani na sabuniUshafeli so habari yako na hoja zako hazina Mashiko kiswahili sio 50% ya kiarabu sababu Mwarabu akiongea mswahili hawezi kumuelewa na vile vile Mswahili akiongea Mwarabu hawezi kumuelewa Mswahili... ni same na lugha zingine tu.. cha zaidi unatafuta sifa tu... na ukiendeleza uzush wako nitaweka video clip ya mwarabu akiongea kama utaambulia kitu hiyo 50% yako ya kubuni kama faiza foxy
Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu kama lugha rasmi ya mawasiliano nchini Tanzania.
Wagalatia mnazinguaBadala ya kupigania lugha ya Kabila lenu iwe rasmi Tanzania,we bado una akili za kitumwa mpaka Leo,jikomboe hata kifkra tu
Waarabu waarabu waarabuWaarabu ni watu makini ajabu
Hoja zuri angalau kwa shule kadhaa pia chuoni. Maana si vizuri mtu anaweza kusoma Kiswahili hadi uzamili na uzamivu lakini hana habari kabisa kuhusu Kiarabu. Huwezi kuelewa Kiswahili kwa undani bila kujua angalau kidogo historia yake na hii ni kukutana kwa lugha za Kibantu na Kiarabu kwenye pwani la Afrika ya Mashariki. Kiswahili kiliandikwa tangu karne kadhaa, kabla ya mwaka 1900 kwa herufi za Kiarabu pekee. Kuna watu wangapi Tanzania wanaoweza kusoma urithi huu wa utamaduni? Nenda Ulaya, pale utapata watu wanaosoma Kiswahili pamoja na Kiarabu.Ni kweli mkuu, nilikuwa Cairo na niliweza kupata mahitaji yangu dukani kwa kuongea Kiswahili na wenyeji kuongea Kiarabu, maneno mengi yanaingiliana. Lakini si vibaya kuweka Kiarabu kama somo mashuleni kwa watakaopenda kama vile ilivyo Kifaransa.