Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,220
Zungumza maneno ya ukweli na kujua sio unaongea kwa Shanna kiswahili no lugha ambayo I me ko a maneno mengi toka lugha za kiarabu kihindi pamoja na lugha za kibantu pia kiasi kuna maneno yakijerumani kama shule na mengine halafu kuna Kireno lugha hizo zote zimeingia kwenye kiswahili
What's the point?
Kila mtu anafahamu hivyo.
Tatizo ni wanaosema Kiswahili ni kiarabu kwa asilimia kubwa which is a lie. Asilimia kubwa ya kiswahili kuanzia maneno, mizizi ya vitenzi, utamkaji, mfumo wa sentesi ni Kibantu. Bantu inaplay zaidi ya 60% ya structure ya Kiswahili.
Pia kutohoa maneno ni kawaida. Hata kingereza kina maneno kutoka lugha nyingine ikiwemo hata kiswahili.