Umuhimu wa kanga mlangoni pa kanisa

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
da31736b24d2e9c3f39fd73b44712a38.jpg
 
Hiyo lazima itakuwa Bongo Movie maana hakuna uhalisia kabisa.
MIM natia mkazo tu mada hizi za faizafoxy .
wala sio bongo movies hiii ni true na inatokeaa na jirani yangu hapaa hayo anayafanyaa sana jpili kama anakendaa club chini nguo inikimbiaa mapaja juu huku mabega wazi hapo kifuani kama yupo 6×6 NEW PANGANI LODGE mapaka siku washikaji wakamwambiaa sister unazidishaa bwanaa asubuhii tuu mtokoo ""ohoho hamna naendaa church kidogo siunajua ibadaa "" nilichekaa mim nawapa BIG UP wallokoree tu waoo MITENGEE AU MIBATIKIII TU
 
nadhani anaenda kurudi kundini atakuwa ni kondoo alipotea....atapatiwa khanga madhabahuni...tunaomba picha akitoka mbele ya kanisa pleasee....teh
 
Duniani kuna aina zaidi ya 40000 za makanisa ila sidhani kama hili Ni kanisa la Mama Lwakatare, Lusekelo, Gwajima au TB Nini Sijui.
 
Back
Top Bottom