Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Ndugu zangu.
Naomba kufahamishwa matumizi na umuhimu wa huduma ya 3G. Nimesikia watu wa mijini wakiisifu huduma hii kutoka kwenye kampuni ya airtel.
Naombeni mnijuze umuhimu wake.