IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Km hajaenda shule na umri umefika yaani amevunja ungo anatakiwa asubiri miaka18?18
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Km hajaenda shule na umri umefika yaani amevunja ungo anatakiwa asubiri miaka18?18
Sent from my iPhone using JamiiForums
18
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona haya mamboya sijui ; Shule, sijui maungo hayajakomaa tungeachana nayo mtu ajiamulie baada ya kutongozwa. Akipata mimba apewe likizo 2 miezi anyonyeshe arudi darasa la 5 hadi amalizeP mtazamo wako ukoje mkuu.
Ndiyo kulingana na shirika la afya dunia WHO hapo anakuwa kakomaa
Kwel kabisa mkuuUkweli mchungu ila tusiangalie upande mmoja, vijana wengi wa kiume nao wanakwepa kuoa, sasa hao dada zetu wataolewa na nani?
Nakukumbusha tu kwamba Mwanaume ni muhimu kwako kuliko mali.Ipo siku utaelewa tu.Watakua masikini wa mali na Roho.
Kweli wanadamu tunatofautiana...mimi jinsi dua zangu na akili yangu nlivyoipeleka katka ktafuta pesa niishi vzuri..nashangazwa sana na wadada wanaoumia kupata ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaishi kwenye Past Era
Kwahiyo tulazimishe kuolewa??
Asiyeolewa anapungukiwa na nini?[
Hilo povu lilokutoka inaonesha wewe ushavuka 30 yrs old.
Labda na mimi siku moja Ndoto yangu itatimia..kama uyu dada aliyeolewa na kapuya
Labda na mimi siku moja Ndoto yangu itatimia..kama uyu dada aliyeolewa na kapuya - JamiiForums
Tunaona ndoto zako bibie zinabadilika
Kwan aliyeolewa na kapuya huoni kafaidika kipesa zaid, au umeelewaje ile ndoa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna umri flani ambao ndiyo hufaa sana kwa mwanamke kuolewa. Miaka 22-28 huu ni umri ambao wanawake wengi hudhani ni wakati mzuri kwao kuolewa na wanaume wengi hupenda kuoa wanawake walio katika umri huu huku wao wakiwa na miaka katika umri wa miaka kati ya 30-35.
Ifikapo miaka 30 wanawake wengi huwa katika wakati mgumu sana kimahusiano na wanaume wengi pia huwa hawako radhi kuwa na wanawake wa umri huu wakiamini tayari wameshakimbiliwa na utu uzima au uzee wanaamini kuwa katika umri huu mwanamke anakuwa ametumika sana, hii dhana haina uthibitisho.
Ingawa kiukweli wanawake wengi huwa na msongo wa mawazo na huomba sana katika kipindi hiki Mungu awasaidie waweze kupata waume ni kipindi ambacho mwanamke anapunguza hata zile sifa za mwanaume anayemtaka. Utamwona mwanamke ambaye yupo kwenye 30s hajaolewa namna ambavyo anahangaika ili apate mwanaume na wakati flani huwafanya wawe na hasira au kisirani.
Mwanamke katika umri huu anakuwa na wakati mgumu kwa kuwa inawezekana ameshahudhuria kwenye harusi nyingi za ndugu zake, rafiki zake na majirani. jamii inakuwa kama inamwangalia yeye kwa sasa ana uelekeo gani na kuna baadhi ya family huzuia mdogo asiolewe kabla dada hajaolewa hii huleta misuguano na migogoro au chuki katika family kuwa mdogo hawezi olewa kabla dada hajaolewa.
Sijafahamu kwanini lakini wazazi wengi na wataalamu wengi wanasisitiza kuwa mwanaume unapaswa umuoe mwanamke ambaye umemzidi kuanzia miaka 5-10. Wanasema hili huwa ni jambo zuri kwa kuwa mara nyngi wanawake huanza kukua kiakili na kimwili kuliko wanaume. So unapomuoa mwanamke ambaye mnalingana ujue obvious ameshakuzidi au unapomuoa mwanamke ambaye mmepishana naye mwaka 1-3 ni kama amekuzidi pia.
Katika hili napenda kuwashauri akina dada kuwa katika kipindi cha miaka 22-28 ndipo wanapoweza tengeneza tabia ya kuwa mke. Ndipo ambapo mwanaume anaweza mtizama mwanamke akaona huyu anafaa kuwa mke wake. So ni kipindi ambacho mwanamke anapaswa ajifunze tabia njema na aoekane mkomavu kwa maneno na matendo pia. Anapaswa achague nini cha kuongea na wakati gani. Pia matendo yake na mavazi ni vitu muhimu sana ili kumpata mume mwema.
Otherwise wanaume wataendelea kuwa na msichana wa namna hii kimahusiano ikifika kwenye kuoa wanaenda kuoa mwanamke mwingine na mwishowe akina dada wanabaki
Hili ni kujipa moyo tu. Unajaribu kupingana na ukweli ili kujifarijiingekuwa kweli basi bi kizee wa Macroon Rais wa ufaransa asingekuwa first ledi. haya mambo hayana fomula