Umri wa mwanamke kuolewa. Ukishapita huu anakuwa na wakati mgumu sana. Na muoaji uwe makini

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,552
2,000
P mtazamo wako ukoje mkuu.
Naona haya mamboya sijui ; Shule, sijui maungo hayajakomaa tungeachana nayo mtu ajiamulie baada ya kutongozwa. Akipata mimba apewe likizo 2 miezi anyonyeshe arudi darasa la 5 hadi amalize
 

wined

JF-Expert Member
Nov 1, 2015
2,133
2,000
Mwnamke ukitaka kuolewa na ndoa iwe na amani hakikisha husomi saana. Labda ujiendeleze ukiwa kwenye ndoa tyr

 

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,649
2,000

feysher

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,665
2,000
Kuna umri flani ambao ndiyo hufaa sana kwa mwanamke kuolewa. Miaka 22-28 huu ni umri ambao wanawake wengi hudhani ni wakati mzuri kwao kuolewa na wanaume wengi hupenda kuoa wanawake walio katika umri huu huku wao wakiwa na miaka katika umri wa miaka kati ya 30-35.

Ifikapo miaka 30 wanawake wengi huwa katika wakati mgumu sana kimahusiano na wanaume wengi pia huwa hawako radhi kuwa na wanawake wa umri huu wakiamini tayari wameshakimbiliwa na utu uzima au uzee wanaamini kuwa katika umri huu mwanamke anakuwa ametumika sana, hii dhana haina uthibitisho.

Ingawa kiukweli wanawake wengi huwa na msongo wa mawazo na huomba sana katika kipindi hiki Mungu awasaidie waweze kupata waume ni kipindi ambacho mwanamke anapunguza hata zile sifa za mwanaume anayemtaka. Utamwona mwanamke ambaye yupo kwenye 30s hajaolewa namna ambavyo anahangaika ili apate mwanaume na wakati flani huwafanya wawe na hasira au kisirani.

Mwanamke katika umri huu anakuwa na wakati mgumu kwa kuwa inawezekana ameshahudhuria kwenye harusi nyingi za ndugu zake, rafiki zake na majirani. jamii inakuwa kama inamwangalia yeye kwa sasa ana uelekeo gani na kuna baadhi ya family huzuia mdogo asiolewe kabla dada hajaolewa hii huleta misuguano na migogoro au chuki katika family kuwa mdogo hawezi olewa kabla dada hajaolewa.

Sijafahamu kwanini lakini wazazi wengi na wataalamu wengi wanasisitiza kuwa mwanaume unapaswa umuoe mwanamke ambaye umemzidi kuanzia miaka 5-10. Wanasema hili huwa ni jambo zuri kwa kuwa mara nyngi wanawake huanza kukua kiakili na kimwili kuliko wanaume. So unapomuoa mwanamke ambaye mnalingana ujue obvious ameshakuzidi au unapomuoa mwanamke ambaye mmepishana naye mwaka 1-3 ni kama amekuzidi pia.

Katika hili napenda kuwashauri akina dada kuwa katika kipindi cha miaka 22-28 ndipo wanapoweza tengeneza tabia ya kuwa mke. Ndipo ambapo mwanaume anaweza mtizama mwanamke akaona huyu anafaa kuwa mke wake. So ni kipindi ambacho mwanamke anapaswa ajifunze tabia njema na aoekane mkomavu kwa maneno na matendo pia. Anapaswa achague nini cha kuongea na wakati gani. Pia matendo yake na mavazi ni vitu muhimu sana ili kumpata mume mwema.

Otherwise wanaume wataendelea kuwa na msichana wa namna hii kimahusiano ikifika kwenye kuoa wanaenda kuoa mwanamke mwingine na mwishowe akina dada wanabaki
 

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,054
2,000
Haikuwa kwa chuki hata kidogo...nimeshauri kama kaka kama rafiki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom