Umri wa mtoto kutembea


The Dude

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
982
Likes
24
Points
35
The Dude

The Dude

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
982 24 35
Hapa kuna mtoto katimiza mwaka mmoja jana.cha ajabu hajaanza kutembea.Anatambaa tu na kujivuta kwa kushikilia vitu na ukuta.Watu wengine wanadai km hadi sasa hajatembea basi hatatembea kamwe.
Kwani umri wa kutembea mtoto ni upi exactly,na nini husababisha wengine kuchelewa? Kwa anayechelewa kuna tiba yoyote?Na je kuna risk ya huyu mtoto kutotembea kabisa ie. Kuwa mlemavu?
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,538
Likes
7,406
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,538 7,406 280
anaewahi sana ni kuanzia miezi tisa japo sio wengi na wapo wanaoenda mpaka mwaka na miezi hata miwili, mara nyingi watoto wa kiume huwa wanachelewa
 
The Dude

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
982
Likes
24
Points
35
The Dude

The Dude

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
982 24 35
Kweli hata huyo mtoto ni mwanaume!
 
Lutala

Lutala

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Messages
845
Likes
21
Points
35
Lutala

Lutala

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2010
845 21 35
Usiwe na shaka ndugu hilo ni jambo la kawaida kabisa. Mwanangu wa kiume ameanza kutembea karibia mwaka na miezi 6 na hata kuongea alichelewa sana. Leo hii ana miaka 5 yupo gado ile mbaya. Tuliza pressure kama keshaanza kutembea kwa kushika ukuta basi ndo safari imeanza. Ukienda kuwauliza wazaramo watakutia pressure bure - watasema mtoto kabemendwa kumbe wala.
cheers!
 
Roulette

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Messages
5,614
Likes
29
Points
0
Roulette

Roulette

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2010
5,614 29 0
Mwaka? bado yupo sawa. Hata miezi 12 sio mbaya. Kwanza huyo anaetembea akishikilia ukuta atatembea tu. wala msiwe na wasiwasi
 
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
13,665
Likes
5,640
Points
280
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
13,665 5,640 280
Mwaka? bado yupo sawa. Hata miezi 12 sio mbaya. Kwanza huyo anaetembea akishikilia ukuta atatembea tu. wala msiwe na wasiwasi
Mwaka na miezi 12...saa 1 na dakika 60
 
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
3,881
Likes
82
Points
145
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
3,881 82 145
Anayewahi Mara Nyingi ni ktk miezi tisa na anachelewa agharabu anafika hadi mwaka na miezi miwili. Sababu ni kwamba wato wengi huwa hawafanyiwi mazoezi ya viungo na mazoezi mengine mfano kukaa au kutembea. Unashauriwa asubuhi unakuwa unamfanyisha mazoezi na kumnyoosha nyoosha viungo vyake. Tatizo la kutembea pia linasababishwa na wazazi kufanya mapenzi kabla mtoto hajakua vyakutosha (kumbemenda). Tatizo Hakuna ila ni aibu tu kuonekana kuwa hamumtendei mtoto haki yake na mara nyingi watoto hawa wana kuwa sio wachangamfu kama watoto wengine pia hata kiakiri. N.B huu ni mtazamo wa kimazingira na hali halisi na sio wakitaalamu hivyo unaweza kukinzana na wakitaalamu.
 
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
4,236
Likes
595
Points
280
Age
39
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
4,236 595 280
Huyo atatembea ondoa shaka jitahidi kumzoeza kutembea huku unamshikia au nunua baby worker ni nzuri sana hasa ile ya kienyeji (ya mbao). Kilimsaidia bint wangu akaanza kutembea akiwa na miezi nane na nusu.
 
BPM

BPM

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,763
Likes
17
Points
135
BPM

BPM

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,763 17 135
Ajitahidi tu kumtembeza au kumfanyisha mazoezi ya kila kitu
 
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,814
Likes
647
Points
280
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,814 647 280
Atatembe usihofu. Mi nilichelewa kuongea hadi watu wakafikiri nitakuwa bubu.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,568
Likes
117,653
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,568 117,653 280
Atatembe usihofu. Mi nilichelewa kuongea hadi watu wakafikiri nitakuwa bubu.
Na ulivyoanza kuongea ukawa kama umetiwa funguo hahahahahah lol! Nasikia Mama akawa anasema huyu tangu ajue kuongea imekuwa shida tupu! :):) Wala usiwe na wasiwasi kwa mtoto wa mwaka mmoja kutotembea wengi tu huwa wanachelewa lakini sidhani kama atamaliza mwaka huu kabla ya kuanza kutembea.
 
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,814
Likes
647
Points
280
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,814 647 280
Na ulivyoanza kuongea ukawa kama umetiwa funguo hahahahahah lol! Nasikia Mama akawa anasema huyu tangu ajue kuongea imekuwa shida tupu! .
yaaani kama ulikuwepo. Nilikuwa natema cheche balaa ila siku hizi siongei ongei sana.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,568
Likes
117,653
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,568 117,653 280
yaaani kama ulikuwepo. Nilikuwa natema cheche balaa ila siku hizi siongei ongei sana.

Naam ndio huwa hivyo.....Mhhhhh ya kweli hayo? Mbona bado unaendelea kutema cheche hapa JF? :):)
 
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,814
Likes
647
Points
280
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,814 647 280
Naam ndio huwa hivyo.....Mhhhhh ya kweli hayo? Mbona bado unaendelea kutema cheche hapa JF? :):)
we mwenzio siku hizi sio mwongeaji hadi najiona zoba.
Bado kidogo niwe bubu kama wewe.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,568
Likes
117,653
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,568 117,653 280
we mwenzio siku hizi sio mwongeaji hadi najiona zoba.
Bado kidogo niwe bubu kama wewe.
Mie siku hizi naongea ububu ulipotea ghafla tu....Miujiza ya muumba wetu lol!
 
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,814
Likes
647
Points
280
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,814 647 280
Mie siku hizi naongea ububu ulipotea ghafla tu....Miujiza ya muumba wetu lol!
nitakuona kwenye ile party yetu kama kweli.
 

Forum statistics

Threads 1,237,946
Members 475,774
Posts 29,307,455