Muungulize Ngombale Mwiru....Jibu atakalokupa ndo jibu la swali lako.......
Naona kuna haja ya kuweka ukomo pia wa kuwa mbunge imagine mtu ana above 65 bado mbunge si ataishia kulala tuu kamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hivi ni kwanini umri wa kustaafu serikalini kwa lazima ni miaka 60?
Na baada ya hapo watu wanapewa mikataba. Angalia mfano wa Kova!
Nakuelewa sana mwanangu, ila unahisi ni kwanini sheria ilisema ukifikisha miaka 60 unapaswa kustaafu kwa lazima?
huu mswada wa mifuko ya hifadhi za jamii imesababisha nikumbuke hii mada.ukapumzike kwa lazima usijekufia kazini,tena iliongezwa makusudi toka miaka 55 hadi 60 kwani ilionekana wengi waliokuwa wanastaafu kwa miaka 55 wanakuwa hwajachoka sana na wanaweza kuishi muda mrefu hivyo kuwa mzigo kwa mashirika ya pension kuwalipa mafao watu ambao hawachangii katika mifuko hiyo pili, ni kuwa wengi ya wafanyakazi wakati ule ilipokuwa inaanzishwa mifuko walikuwa hawakatwi pension hivyo ili mifuko iweze kuwalipa ilibidi waongezewe miaka 5 zaidi ili mifuko iweze kuwalipa ikazoeleka hivyo baada ya kuonekana ni faida kwa mifuko kuwa unachangia kwa muda mrefu pindi ukistaafu na miaka 60 unakuwa umechoka sana hivyo akiba yako uliyojilimbikizia inatumika kidogo kabla ya kukutwa na umauti na kiasi kinachobaki ni faida ya mifuko Fikiria jaribu kubadili huu unyanyasaji kwani life expectancy ya Mtanzania ni miaka 49 lakini kustaafu ni 60 kwanini? Hivi Askari mwenye miaka 55 au 60 anaweza kupigana vita? HUU NI UNYANYASAJI WA DHAHIRI NA NI DHAMBI MBELE YA MWENYEZI MUNGU Hivi vijana walio mtaani sasa ni wengi wanatafuta ajira wakati vibabu viko makazini havina tija eti mifuko itapata hasara wakistaafu na miaka 55 hii ni kweli? FIKIRIA CHUKUA HATUA SASA