Umri wa kumkanya mtoto kwa bakora

Huwezi kumchapa bakora Moja kwa Moja.

Kuna strategy nyingi hasa sisi kina mama. Sasa pale initial strategies zinapofeli ndo bakora zinaanzaga regardless of age.

Wewe tu na ukaidi wako.

Strategy ya kwanza ni kukata jicho flani linalozidishaga mapigo ya moyo.....hii tunatumuaga wageni wakiwepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom