Mwamgunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 247
- 48
Wanajamvi salam kwenu! Nina umri wa miaka 30. Ninaelimu ya chuo kikuu pia ni mwajiriwa serikalini, najitokeza ktk ukumbi huu kutangaza nia ya kutafuta mke na awe na sifa zifuatazo: Awe na elimu japo ya kidato cha nne, awe mkristo au akiwa mwislamu awe tyr kubadili dini, awe mweupe na weupe wake uwe wa asili, ajue thamani ya kupendwa na kupenda, ajue maana halisi ya maisha, awe mcheshi na mwenye upendo kwa watu. Mwisho kbs umri wake uwe kati ya miaka 18-26 na asiwe mnene wala mrefu sana. Mwenye sifa na vigezo tajwa hapo juu ani PM, wenyeji wa Mwanza, Arusha na Singida watapewa priority. Thanx!