Umri umeenda, nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi pliiiiz!

Mwamgunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
247
48
Wanajamvi salam kwenu! Nina umri wa miaka 30. Ninaelimu ya chuo kikuu pia ni mwajiriwa serikalini, najitokeza ktk ukumbi huu kutangaza nia ya kutafuta mke na awe na sifa zifuatazo: Awe na elimu japo ya kidato cha nne, awe mkristo au akiwa mwislamu awe tyr kubadili dini, awe mweupe na weupe wake uwe wa asili, ajue thamani ya kupendwa na kupenda, ajue maana halisi ya maisha, awe mcheshi na mwenye upendo kwa watu. Mwisho kbs umri wake uwe kati ya miaka 18-26 na asiwe mnene wala mrefu sana. Mwenye sifa na vigezo tajwa hapo juu ani PM, wenyeji wa Mwanza, Arusha na Singida watapewa priority. Thanx!
 
kweli mwana 30 hujaoa tuu...changamka. hii kugegeda gegeda sio maisha kabisa.
 
30 yrs kweli umri unakutupa mkono fanya hima usije kuitwa babu na watoto wako mwenyewe.
 
Kazi unayo lkn haujapata mke? Unaish porini? Ndugu yangu factor ya weupe utaingizwa king mchana kweupee kuna mikorogo town ya kufa mtu ambayo inaweza kumfanya mpoki kuwa na rangi kama ya angela damas au jaqlin ntiyubakiwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom