Umri sahihi wa mwanaume kupata mtoto ...................

PHP:
So kama huna uwezo wa kutunza huyo mtoto inabidi tu uzae kwa sababu umri  unaenda au? au kama hujaolewa ujibebeshe mimba hata kwa mume wa mtu  kisa umri unaenda au? Naamini mungu aliekupangia kuolewa au kuoa ukiwa  na umri wa miaka 45 ana makusudi yake kwako. Kwani mbona sara alizaa  akiwa na miaka 90? Kila kitu anapanga Mungu wajameni.
 
Kusema kwamba umri huu sio sahihi kwa hili au kwa lile ndio  unaosababisha wakinamama akishafikisha umri basi hata kama Mungu  hajampangia anabeba mume wa mtu au anajibebesha mimba makusudi na  kulazimisha ndoa matokeo yake ni ndoa zenye utata kila siku mikwaruzo.  Ukiuliza kisa naona umri unaenda naogopa kuzeeka bila kuzaa au kuolewa

Hakuna takwimu zinazonyesha ya kuwa ukichelewa kuolewa au kuzaa basi mambo yako yataimarika.................
 
HTML:
It is the same to me, most of wadada katika nchi hizo hawataki kuzaa  mapeme, kwa sasa takwim zinaonesha wengi ni from 35 kuendelea ndio  wanazaa,
 
Lengo la kugusia hilo swala ni kwamba, hio article ni more applicable  kwao huko huko walikofanyia research, naamini hayo matatizo katika  thread yao yanawapata wao zaidi kuliko wanaume wetu wa kiafrica.

TUmekuwa tukiiga kila kitu kutoka West mema na hasa mabaya bila ya kunufaika na madhara ambayo wao tayari wamekwisha kumbana nayo........................if you really love your offsprings you will not expose them to riskier circumstances....................like immature or weakling sperms...................................You will go for the real thing................
 
HTML:
Lengo la kugusia hilo swala ni kwamba, hio article ni more applicable  kwao huko huko walikofanyia research, naamini hayo matatizo katika  thread yao yanawapata wao zaidi kuliko wanaume wetu wa kiafrica.

Tatizo kwetu ni kuwa tumeiga kila kitu kama wa kule na sisi tunafana nao.....................matatizo ya obesity ya kule nasi tunakumbana nayo......kisukari..............shinikizo la damu...............................magonjwa ya moyo.................yote haya yanathibitisha ya kuwa An African man is no longer at ease.......................................he is too Europeanized...........
 
Back
Top Bottom